Kwani lazima mamiss wetu kuolewa na wazungu????

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo gani..ndio utakuwa maskini?? au jamii haitakupa nafasi?? Inanikera na inaniboa..
 
Ile ni business, so ukishamaliza mali inakuwa sokoni ila value yake inakuwa kubwa kidogo na competition inakuwepo. Kubwa zaidi ni kuwa ukiwa na mzungu ni rahisi kucheat na wabongo ila ukiwa na mbongo na wewe ulikuwa miss mtakuwa mnashinda magazetini kufumaniana.
 
Uturn inawaaribu,si unaona mivogue ile au hauoni mijaguar ile ile wanawaringishia chezeya muke ya mudhungu?
 
Miss kuolewa na mzungu ni swaga
Ni kama rapper na mibling ya cheni na mipete ya silver.
 
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo gani..ndio utakuwa maskini?? au jamii haitakupa nafasi?? Inanikera na inaniboa..

Kijana safi ndio yukoje_by the way...huo wembamba wao wengi hatuwafagilii.
 
Na mimi naunga mkono hoja. Nilikuwa naangalia baadhi ya ma miss kwa kweli wako too skinny; yani ukicheki mguu au tupaja kwa wabongo ngumu kupata soko. sasa shepu za kiivyo soko lake ni wadhungu.

\

Yeah_wawezeshwe msosi ili angalau wanenepe..then tutawaoa mkuu.
 
Sababu kubwa ni kwamba,hawatuvutii!me na akili zangu nitoke na mtu kama happyness magese kweli,nimekosa nin?
 
Wabongo kwa kufuatiliana tu. Live your life.

Mie sijawa impressed mpaka siku miss atakapoolewa na alien from Andromeda Galaxy ndiyo naweza kuona ajabu.
 
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo gani..ndio utakuwa maskini?? au jamii haitakupa nafasi?? Inanikera na inaniboa..

Ndoa zao wao kukerwa ukerwe wewe? Huna ya kutosha yanayokukera maishani mwako hadi ukereke na ya wengine?

Zeeka na mambo yako ndugu....kuzeeka na ya wengine haihusiki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom