Kwani lazima kuoana?

Jiandae kwenda motoni shetani mkubwa we!Bwana Yesu amesema'kila afanyae dhambi huku anacheka ajue ataingia motoni huku analia'.Yaani jitu kubwa zima hata haya huna,eti unamnanii shemeji yako wewe hata kuachiwa dada zako itakuwa taabu.Tubu sasa hivi na nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako la sivyo tarajia mabaya zaidi juu yako,mwasherati wee mwanahizaya wee.
 
Yote maisha tu: ukipata mwezi hawezi kitandani - utafanyaje?? kama unahitaji mtoto unafanyaje kama mme haamshi??

Let us be realists!
 
Duh aisee unamega wife wa jamaa ako dah ndo maana mimi kuoa sitaki kama wanawake ndo mlivyo unachanganya hadi rafiki yangu mmmmh!
 
Duuh naogopa...! Hivi mwanaume akimega nje ya ndoa ni dili na mwanamke akimegwa sio dili...?!

Unaweza ukakuta ni lipizo kwa huyo mshikaji wako, labda nae alikua natabia za kumega wake za watu, sasa na wake anamegwa...!

Mla cha wenzie na chake huliwa, so jiandae na wewe pia, aidha kwa mke wako au kwa demu wako...!
 
nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

ushindwe!
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Astaghafirullah!...kweli kikulacho kinguoni mwako! :( ....Shemeji shemeji huku wazima taa! :(
 
Huna haya wewe, wala huoni vibaya! Hadi kulala na mke wa rafiki yako ulikosa msichana? Kweli wewe ni mnafiki kwa rafiki yako.
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!
Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...
 
Astaghafirullah!...kweli kikulacho kinguoni mwako! :( ....Shemeji shemeji huku wazima taa! :(
BA,
Acha kabisa yaani anayekufisadi yuko karibu yako siku zote....Mimi niliwahi kumegewa mai waifu na rafiki yangu ambae tulisaidia kwa shida na raha,mwisho nae akaja kutaka kuona ni raha gani naipata kwa mai wangu....ila uwezi amini mshikaji mpaka leo ni best yangu sana japo sio kama mwanzo....Natamani ni mkate kichwa huyu jamaa mwenye hii thread
 
Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month tulifanya anniversary yao. Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu. Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.

Naogopa kuoa!

Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.

Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
 
Mbaya sana. Labda kitendo chako cha kibazazi kinatusaidia kutafakari mahusiano yetu sisi tulio kwenye ndoa: kati yetu na wake zetu. Inavyoonekana mwanamke yule alikuwa na kitu anakikosa kwa jamaa ndo mana akawa anamtongoza rafiki ya mumewe kwa kila njia. Naye mwishowe kampa dozi. Na sasa wamenogewa sidhani kama wataacha mchezo huo mchafu japo jamaa hajasema. Basi hii itukumbushe sisi wanadnoa kuridhishana jamani. Tusifanye tendo la ndoa kwa kutimiza wajibu. Tulifanye kwa umakini, uangalifu na kwa ubora unaotakiwa ili kila mtu aridhike kiasi kwamba asiwe na hamu ya kuonja huko nje. Ni mbaya sana, tena na magonjwa haya ya sasa.

Kwako Mtu B, uache tabia ya kibazazi. Haina tija. Umefanya kosa kubwa kumzunguka rafiki yako. Uzinzi ni uovu wa kishetani. Usirudie tena please!
 
Hey msimshambulie sana huyu jamaa. Huyo so called mke naye siyo mke material. Inakuwaje alimpanulia jamaa miguu yake na kumegwa? Kama jamaa hakumbaka basi alimegwa kwa hiari yake na hiyo ndiyo tabia yake. End of story.

Huyo so called mke kama asingemegwa na mshikaji angemegwa na njemba ingine tu. Alitaka mwenyewe kumegwa.
 
Ajabu ni kuwa mkewe amekuwa akinizoea sana mazoea yasiyofaa kwa mke wa mtu.
Kwanini akuzoee? Hapa inaonesha hapo awali ulishawahi kumnywesha asali ndio maana alipoona ya mumewe sio tamu akaona akuzoee ili anywe ya kwako. Hapa ilitakiwa uwe jasiri kwa kumkatalia katakata maana yeye tayari ni mume wa mtu (shemeji yako).

Kwa kweli ulifanya kosa kubwa sana hapo na baadaye linaweza kuleta matatizo. Tubu kosa hilo na Mungu atakusamehe na usirudie tena mdogo wangu.
 
BA,
Acha kabisa yaani anayekufisadi yuko karibu yako siku zote....Mimi niliwahi kumegewa mai waifu na rafiki yangu ambae tulisaidia kwa shida na raha,mwisho nae akaja kutaka kuona ni raha gani naipata kwa mai wangu....ila uwezi amini mshikaji mpaka leo ni best yangu sana japo sio kama mwanzo....Natamani ni mkate kichwa huyu jamaa mwenye hii thread

Pole sana kwa rafiki yako kukufanyia unyama wa kiasi hicho. Una roho nzuri sana kama jamaa bado ni best wako maana wanaume wengi huyo jamaa wangemweka katika kundi uadui na na kutokuwa na mawasiliano naye tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom