Kwani lazima kila mtu amuige Salama wa channel 5?

acheni ujinga. Kwani salama ndo ameanzisha vipindi vya mahojiano na watu maarufu? Mbona hamsemi oprah kamuiga larry king? Au david letterman? Haijalishi wameshuti chooni au saluni au baaa au kwenye danguro zote zinaitwa talk shows. Mbona kuna kipindi cha mgahawa hamsemi au lugha haipandi? Huyo salama kwanza ni mjinga tuu, yeyote anaweza kuhoji wasanii na watu wakaangalia. Mimi nilidhani ana idea tofauti? Nilikipenda kipindi cha je tutafika lakini sasa hv kiko wapi? Dakika 45 kilianza vizuri leo kiko wapi? Planet bongo? Bongo movie kiko wapi? Setting tofauti, idea ni ileile tu kuhoji watu maarufu. Tatizo watu maarufu wenye mvuto ni wachache tz hawazidi 20, then kipindi kitaanza kuboa au kurudia wageni kama bongo movie. Msimsifie huyo ***** salama hana lolote jipya. Wajifunze vipindi vya reality vya nje wapate ideas, tatizo hawana budget wanaishia kufanya vipindi simple simple tu ambavyo baada ya muda mchache creativity inakuwa limited na location settings plus lack of resources and production skills. Tamaa tu ya matangazo ya tigo na voda imewajaa. Kwa vile ana connection na huyo madam rita ndo kapata hiyo platform, ila kipindi hakina future. Tatizo lingine ana improvise too much mpaka kuna maneno yanashangaza kama kweli huwa anajiandaa.
una ugomvi na salama? Au we ndo uliye iga!
 
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo nimekuta akihojiwa Thuddy Thomas kwenye kipindi cha TAGz.
Nawashauri watangazaji wa kitanzania kuwa wabunifu sio kila kitu kuiga.
Ni hayo tu.

kawaida ya wabongo weeengi unaona hata ccm na magufuli na samia wanafata ilani ya cdm na dr wilbroad slaa 2010 huku wakinyofoa hotuba za kambi rasmi ya upinzani
 
Kuiga sio shida ka utatafuta utofauti wako hakuna kipya chini ya jua.....mfano bongo kuna Friday night live(fnl) marekani wana Saturday night live (SNL)
 
Huyu huyu Dada ameolewa? maana namuona bado yupo yupo tu alafu kama homoni za kiume zimemzidi na hivyo kuonekana kama msela msela
 
Kwan vipindi huwa vina haki miliki it means ww ukiwa nacho mungine haruhusiwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom