Kwani kuna ulazima gani taarifa za habari zote kuwa saambili usiku??

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
JAMANI HILI LIMEKUA LIKINIKERA muda sasa...sioni ulazima wa almost vyombo vyote vya habari kurusha matangazo ya taarifa za habari saa mbili usiku, utakuta ITV, TBC, STAR TV, na nyinginezo isipokuwa channel ten ambao ni saa moja , matangazo yao ya habari ni saa 2, wote..wadau tunakosa kuangalia habari from different sources kwa mtindo huu..kuna haja ya kuliangalia na hili pia..ili tuwe na wide sources of info..
 
Back
Top Bottom