Kwani kumetokea nini??...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Hivi karibuni wakati Mhe. Rais alipotembelea mawizara na taasisi za umma, kuna masuala mengi ambayo watumishi wa umma walidadisi. Kubwa ambalo lilijitokeza ni utaratibu uliotumika na watu wa usalama kuwadhibiti watumishi hao kuingia maofisi. Sina hakika kama ilitokea katika ziara zote, lakini kwa baadhi ya maeneo, wanausalama waliwasili mapema sana wakia na mashine ya utambuzi kwa ajili ya kukagua watumishi (body scanner) ambazo zilifungwa na watumishi wote kutakiwa kupitia mlango mmoja tu. Nadhani hata kiti kilikuwa kina fanana rangi..sijui kile kile kila Wizara au lah!!.

Utaratibu huu haukutumika mwaka, 2006 katika ziara inayofaanana na hii ya juzi juzi.. wengi walijiuliza "kuna nini mpaka mkuu ashindwe kuwaamini hata watendaji wa Serikali yake??"

Wengi walijiuliza



url

url


Picture%2Bno.%2B3.jpg
 
unategemea nini toka kwa mtu asiyejiamini, aliyechoka baada ya kushindwa kutimiza ahadi hewa?


Yule bwana (Lowasa) alimuuliza Kikwete, 'mnataka kunipa barua kwa kosa lipi? Nimefanya nini? Nini ambacho wewe hukifahamu?' Kikwete, taarifa zinasema, alimhakikishia Lowasa kuwa 'hakuna lolote litakalotokea!'
mwanahaliisi-toleo 240, mei, 2011
 
'mtaalamu' kashauri raisi atumie kiti hicho kepusha kundondoka ovyo ovyo
 
Nadhani ni taratibu za kiusalama, ambazo labda watu wengi hatuzifahamu...
 
Ni rahisi tu! raisi si mtu wa hivi hivi tu lazima kuwe na ulinzi ipasavyo. Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kwamba raisi hawaamini watendaji wake. Si hivo ata wenzetu USA ambako wameendelea sana kuna ulinzi mkubwa sana sana raisi anapokuwa around. Mashaidi wanaweza sema wakati wa ujio wa Bush hapa bongo au Clinton Arusha sio mchezo. John Kennedy was shot dead because of trusting that the majority likes him. Je wewe kwa nini haujiulizi mtu kama Dr. Slaa analindwa na mabausa wa Bills ina maana hawaamini wenzake?
 
unategemea nini toka kwa mtu asiyejiamini, aliyechoka baada ya kushindwa kutimiza ahadi hewa?


Hapana hapa umechemka kabisa, Rais atabaki kuwa juu tu upende usipende. Ni heri kumlinda raisi kuliko gharama za kufanya uchaguzi mwingine.
 
Back
Top Bottom