Kwani hii dhana bado ipo...??

Ndio maana na mie nakupenda babu,
Japo sijui kiwango chako cha kunipenda kimeongezeka au nikile kile!
Kiukweli linapokuja swala la watu kupendana kwa dhati km Babu ODM na bibi yetu MATESHA,
Umri munabaki kuwa namba tu,ndio maana some time babu anaendaga sokoni na kumsaidia bibi kupika lol!
Siishii hapo tu, na limbwata namnunulia ili aniwekee zaidi na zaidi........
 
Siishii hapo tu, na limbwata namnunulia ili aniwekee zaidi na zaidi........
Haaa haaa haaa,
Hapa babu Mmmmmh!
Wenye macho hawaambiwi tizamen,wataisoma wenyewe!
Haya ndio mapenz bwana!!!
Hkuna cha umri wala nn,mkizimikiana basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Nafikiri inategemea, kuna wengine kuzidia umri siyo ishu na kuna wengi huwa sababu ya migogoro ndani ya ndoa. Cha msingi cha kujiuliza, kuna mapenzi ya kweli kati ya hao wanaopendana waliozidiana umri?
 
Kila siku watu wanapendana na wengine kuachana kutokana na sababu mbalimbali...hili suala la "age mates" kupendana lina tatizo jamani?? Maana nimekuwa nikisikia watu wakili-discourage sana,kwamba mtakuwa wote na mawazo ya kitoto...kila mmoja atakuwa anajiona anajua zaidi ya mwingine. Na kwamba kuwa katika mahusiano,ambayo mwanamke kapitwa miaka kuanzia mitano ndo yenyewe....Kwa mtazamo wangu tabia ni hulka tu ya mtu kutokana na mazingira aliyokulia au yanayomzunguka...Suala la mapenzi ya "age mates" mwalionajee wana JF?

Unapoongelea mapenzi , unaongelea love mates na si age mates wala wanaotamaniana mates . Sihitaji kufafanua.
 
Mzeee wangu vp tena,
Funguka bwana hapo umeniacha njia panda lol!!!

khabari yako canty?
Mi uzoefu wangu mapenzi ya age mates huwa ni matamu mwanzoni yani full mashamsham...ila kuna matatizo a.k.a migogoro mnapoishi kindoa mkiwa na umri mmoja bisha usibishe...akili zenu zikiwa zote za kitoto(especially at early stages of marriage) mkivurugana kidogo BUSARA hakuna hapo....na kuna jambo lipo na litaendelea kuwapo Umri katika ndoa ni issue wala msijidanganye my fellows
 
Back
Top Bottom