kwani biashara?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
''we mwanaume gani,unaskia raha tu mi nakuja kwako wala hushangai napendezaje,huoni mapafyume nnayonukia wala huushangai. Unashugulika wala sh 10 hunipi,cji tena kwako''
 
Kumbe unauza vocha, hukuniambia napenda mwanamke muwazi.

Ukipata mpya umwambie unauza vocha.
 
Yumo humu anasikia? Anaijua ID yako?
Sema shida yako wakusaidie, usiposema atajuaje kama una shida wakati unanukia mapafyumu!
 
tena ukute unaspray BE MINE, ALIEN, UNBREAKABLE na nyinginezo! next tym jifukize udi tu, uone kama hatakufikiria!
 
''we mwanaume gani,unaskia raha tu mi nakuja kwako wala hushangai napendezaje,huoni mapafyume nnayonukia wala huushangai. Unashugulika wala sh 10 hunipi,cji tena kwako''

Sasa kama husemi atajuaje kuwa una shida,pia yawezekana kuwa hauna shida ila uko sokoni yaani unajiuza atajuaje,kuwa muwazi ili akuelewe lengo lako!:yawn:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom