Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Kuna hatari ya kuifanya CHADEMA CCM-B, kama halijafanyika tayari.

Despite all the hullaballoo about change and all that jazz.

Kwa wabunge hao walionao hakuna change itakayotokea siku mbili hizi. Ujue Regia ni Waziri Kivuli wa Ajira na Vijana!

Pata picha ingelikuwa CHADEMA imeshinda huyo ndo angekuwa Waziri (?)
 
Kwa wabunge hao walionao hakuna change itakayotokea siku mbili hizi. Ujue Regia ni Waziri Kivuli wa Ajira na Vijana!

Pata picha ingelikuwa CHADEMA imeshinda huyo ndo angekuwa Waziri (?)

Labda wabongo sio wajinga hivyo kuwaweka bench kwa sasa mpaka waweze kuonyesha wako serious kwanza.
 
Haya mambo ya "she is beautiful" si ndiyo haya haya CHADEMA mnawabonda kila siku watu waliomchagua Kikwete kwa msingi wa kwamba eti ni "handsome"?. Sasa hiki chama ambacho kinatakiwa kuwa mbadala, kinatuletea habari hizi hizi?

Kama unaona "she is beautiful/ handsome" kanywe naye chai, hilo linahusiana nini na uongozi?

Muanishaji wa hii thread kwa kuweka upupu kama huu katika vitu alivyoangalia kumpa umahiri kashatuonyesha kwamba standards zake ziko chini kweli kweli.

aliyeleta mada ni mtu mmoja... sidhani kama ni sahihi kuhukumu kila aliyesapoti political vision ya chadema basi ameshaangalia sura au tabasamu
 
  • Thanks
Reactions: bht
Angalia huyu hata hajui kwamba chama ni watu, na kama wanachama wenyewe ndio hawa sioni ajabu CCM inakuwa vigumu kuitoa. Huwezi kutoa uozo kwa kuonyesha wananchi uozo mwingine, tuonyesheni mna chama mbadala kweli.

Nimeuliza Regia kafanya nini cha maana kupewa umahiri sijapata kitu chochote concrete. Is this the best you guys can do?

Kubali kwamba kuweka uzuri kama moja ya sifa ya umahiri wa mbunge umechemsha.

jukwaa la celeb hili baba...
 
..Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kuisha na CCM kufanikiwa kuchakachua kura za jimbo la ifakara lakini bado akapata nafasi ya mbunge wa viti maalum kupitia CDM,japo ni mlemavu lakini kwa hakika amekuwa jembe la ukweli kwa chama changu makini cha CDM na amekuwa akiendelea kukubalika kwa kada mbalimbali za watu hasa vijana...ni watu wachache wenye hali kama ya dada huyu wanaoweza wakafanya kazi ya kukaa sehemu zaidi ya mwezi kwenye mapambano...amefanya hivyo Igunga na sehemu nyingine nyingi...

..Nimefanikiwa kumsikiliza live dada Regia kwenye mkutano mmoja hapa viwanja vya barafu DOM,she is energetic,patriotic,confident,responsible,and more than that she is beatiful....I like the way anavyoongea,ni makini na kwa hakika anaitaji pongezi kwa wabunge na wanasiasa wanawake kwa Tanzania....Na kwa chama changu amekuwa ni msaada sana kukijenga sehemu mbalimbali hapa nchini....

..Hongera dada Regia,keep it up!!



View attachment 44143View attachment 44144View attachment 44145View attachment 44146

Jimbo la Kilombero,Wilaya ya Kilombero. IFAKARA ni Makao Makuu ya Wilaya ya KILOMBERO.
 
jukwaa la celeb hili baba...

That puts it in perspective.

Lakini hata jukwaa la celeb watu hawamezi mambo jumla jumla bila ku present both sides of the story.

Na u celebrity wa muwakilishi wa watu uko subject to scrutiny ya watu.
 
aliyeleta mada ni mtu mmoja... sidhani kama ni sahihi kuhukumu kila aliyesapoti political vision ya chadema basi ameshaangalia sura au tabasamu

Mimi sijasema kila aliyesapoti political vision ya CHADEMA basi ameshaangalia sura au tabasamu.

Infact, hukatazwi kuangalia sura na tabasamu as long as unatambua kwamba sura na tabasamu si political qualification.

Nilichosema ni kwamba, huyu mleta mada pamoja na ilk yake ndani ya CHADEMA, wanatuangusha sie tuliofikiri kwamba CHADEMA inakuja ku set a higher bar, kutuondoa kwa zile habari za watu kumpigia kura Kikwete kwa sababu ni "handsome".

Sasa wewe kama sio joka la mdimu huna haja ya kuwa concerned, najua kuna watu wanaweza kufikiri zaidi ya kiwango hiki CHADEMA. Ila wenzenu hawa mnahitaji kuwapiga msasa wasituletee habari za "cult of personality" katika siasa.
 
That puts it in perspective.

Lakini hata jukwaa la celeb watu hawamezi mambo jumla jumla bila ku present both sides of the story.

Na u celebrity wa muwakilishi wa watu uko subject to scrutiny ya watu.
katoa mtu mmoja, sasa unakomaa hukumumu... haya baba, mie siku zote nadhani lazima kuna kitu mlinyimana tu na yule ntoto wa watu
 
Nilivyokuuliza "Morogoro inatoa passport? Wageni Watanzania?" Ukasema "Hapana kwa maswali yote."

Hapa naona unabadilisha kutoka "Hapana, wageni si watanzania" unaenda "Wageni si indigeneous Tanzania"

Au na wewe hii ni Freudian slip? Kwamba a non-indigeneous Tanzanian is not a Tanzanian? Ndiyo maana ukaona huu umahiri kwa sababu una admire ubaguzi wake?

Kwanza indigeneous Tanznian ni nani?
Hasira zikizidi, unasupress CNS na reactions zinakuwa controlled more by the Endocrine System. Hormones ndiyo zina synopsize the synopsis.....matokeo yake yanaweza yakawa si mazuri.... hallucinations etc.

Mimi nilidhani ni kina Bakresa.... Mtibwa and the likes.
I'm not classifying anybody, nilikuwa naangalia as a guest and didn't like the comments. I had to bring that up.
Sioni umahiri wake, I already made that clear, You lacked the inertia and I stepped in provocatively.

#15.... when you were still looking for a reason.
 
Hongera sana Dada,nakutakia mafanikio mema ktk mwaka huu mpya ,mungu akupe nguvu na imani,

kama mungu ameweza kukunyanyua hadi hapo ulipo binadamu ni nani yeye aweze kukushusha?
 
Hasira zikizidi, unasupress CNS na reactions zinakuwa controlled more by the Endocrine System. Hormones ndiyo zina synpsize the synopsis.....matokeo yake yanaweza yakawa si mazuri.... hallucinations etc.

Mimi nilidhani ni kina Bakresa.... Mtibwa and the likes.
I'm not classifying anybody, nilikuwa naangalia as a guest and didn't like the comments. I had to bring that up.
Sioni umahiri wake, I already made that clear, You lacked the inertia and I stepped in provocatively.

Hamna hasira hapo, hakuna intellectual content iliyofikia level ya kunikasirisha. Tatizo la wengi tumezoea kuwa treated na kid gloves na kuimba chorus za oooh, aaaah tukihusudu personality cults pamoja, akija mtu critical akasema kitu wazi anaonekana kakasirika kumbe ndio nature ya crtical observation tu.

Ni hivi. Hta hao kina Bakhresa Mtibwa etc, kwa sheria na mila na utamaduni wa Tanzania, ni watanzania, wengine wana mizizi hapa wakianza kukupa michango ya babu zao inaenda nyuma mpaka kwenye vuguvugu la kudai uhuru.

Sasa kwa nini mnataka kuwabagua kwa sababu sio weusi tu?

Ubaguzi wa rangi si tuliupiga vita sana South Africa mpaka tukawa nchi za mstari wa mbele? Sasa kwa nini tunataka kuleta ubaguzi wa rangi huu huu Tanzania?

Au ukaburu mbaya kwa mtu mweupe, mtu mweusi akiwa kaburu sawa?
 
katoa mtu mmoja, sasa unakomaa hukumumu... haya baba, mie siku zote nadhani lazima kuna kitu mlinyimana tu na yule ntoto wa watu

Katoa mtu mmoja lakini kajibiwa na a chorus of personality cult abayo ina ignore ukweli ninao expose.

Kuhusu kunyimana, mi sina fetish hiyo (kutaka watu kama yeye) kwa bahati nzuri au mbaya. Halafu niko Japenga.

Uki reduce kila kitu kiwe explained na carnal desires unatuonyesha jinsi wewe unavyofikiri kuliko anything else.
 
Hongera sana Dada,nakutakia mafanikio mema ktk mwaka huu mpya ,mungu akupe nguvu na imani,

kama mungu ameweza kukunyanyua hadi hapo ulipo binadamu ni nani yeye aweze kukushusha?

Cult of personality linaendelea.

Tunasahau kwamba huyu kazi yake ni kuwakilisha wananchi, tunaongea sana kuhusu kunyanyuka kwake huyu mbunge kuliko kazi anayowafanyia wananchi.

Kwa namna hii hatuwezi kuendelea.
 
The opposite is true

Nilidhani labda ni mimi tu ninayepingana na thread hii, Tangu nianze kumfahamu Regia nimeona mapungufu mengi, Mathalani alishindwa kujizuia pale kwa wanawake live na kuanza kutoa comment za ki-layman kabisa.

Bungeni kule amekuja na comment za hearsay! Kiufupi ni mlopokaji na hafanyi utafiti wa kutosha anapotaka kulisemea jambo!
Kitu ambacho simtilii mashaka hata kidogo ni uthubutu wake, haogopi kusema kile anachotaka kufikisha kwa watz.
Yuko na watu makini sana pale CHADEMA Johm Mnyika tafadhali msaidie huyu ndugu!
 
Kama CHADEMA wangesikiliza the likes of Kiranga na kuacha kupeana ubunge kwa kujuana na habari za affirmative action kuziweka mbele, wasingepata aibu kama hii.

point to be noted ... hapo ndipo wanapokosea ... i hope wataliona hili..
 
Back
Top Bottom