Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

ni kweli amepewa sifa zote hizo ni zake, ila akumbuke nidhamu yake iko chini kwani nikikumbuka Igunga aliwahi kumjibu majibu ya kunya Dr Slaa kwamba gari ni la ubunge wake na aliupata kwa jasho lake na kama ubunge ni rahisi hata dr angekuwa mbunge hivyo asione mtu akimfuatafuata kimsingi niliumia sana kwani Dr aliondoka kimya bila kutia neno. je hiyo ndiyo sababu iliyomfanya awe mwanamke mahiri kwanini Sii HALIMA MDEE aliyepambana kiume na tumekomaa nae kule igunga porini mwanzo mwisho hakuwahi kukimbilia mjini kama huyo mtema na kina Heche?
 
maskini mzee slaa kumbe alipewa KAVU... anyways nikirudi kwenye topic swali langu ni kama la kiranga .. "KAFANYA NINI"..?
 
ni kweli amepewa sifa zote hizo ni zake, ila akumbuke nidhamu yake iko chini kwani nikikumbuka Igunga aliwahi kumjibu majibu ya kunya Dr Slaa kwamba gari ni la ubunge wake na aliupata kwa jasho lake na kama ubunge ni rahisi hata dr angekuwa mbunge hivyo asione mtu akimfuatafuata kimsingi niliumia sana kwani Dr aliondoka kimya bila kutia neno. je hiyo ndiyo sababu iliyomfanya awe mwanamke mahiri kwanini Sii HALIMA MDEE aliyepambana kiume na tumekomaa nae kule igunga porini mwanzo mwisho hakuwahi kukimbilia mjini kama huyo mtema na kina Heche?

Nimeuliza kafanya nini sijajibiwa, naona watu wanamnadi kahutubia, mzuri, energetic, patriotic, confident etc sifa ambazo ni subjective na hazina distinction.

Nikiuliza standards za distinction naonekana mnoko.
 
Kakemea wageni waondoke morogoro warudi kwao!!
 
Ushauri wangu kwake aache papara na pia awe anafikiria maneno ya kuongea kabla hajafanya hvyo kwani kauli zake hua zina walakini,but all in all she is doing good
 
Hapana kwa maswali yote.

Hiyo si distinction, sanasana ni xenophobia na kutoelewa dynamics za globalization.

Umasikini wetu hauwezi kuletwa na wageni. Na hatutatui kitu kwa kufukuza wageni kama hatuwezi kufanya kazi wenyewe.Tunatafuta mchawi.
 
Mimi binafsi sijaona cha maana alichofanya...kikubwa kwenye historia yake ya ubunge wa kupewa ni kushiriki maandamo ya Chadema yasiokuwa na tija kwa taifa
 
Haya mambo ya "she is beautiful" si ndiyo haya haya CHADEMA mnawabonda kila siku watu waliomchagua Kikwete kwa msingi wa kwamba eti ni "handsome"?. Sasa hiki chama ambacho kinatakiwa kuwa mbadala, kinatuletea habari hizi hizi?

Kama unaona "she is beautiful/ handsome" kanywe naye chai, hilo linahusiana nini na uongozi?

Muanishaji wa hii thread kwa kuweka upupu kama huu katika vitu alivyoangalia kumpa umahiri kashatuonyesha kwamba standards zake ziko chini kweli kweli.
 
CDM wabunge wa shoka wanawake hawazidi watano wengine wote walipata ubunge wao kwa vimemo na mashinikizo.
Nawataja, Regia, Halima, Rose Kamili, Lucy Kiwanga na mmoja nimemsahau.

corrections: Halima alichaguliwa na wananchi wa jimbo la kawe...mimi ni mmoja wao.
additions: Chiku Abwao wa Iringa ni zaidi ya jasiri wa kawaida na kuna mwingine wa kutoka BUKOBA ni mzuri sana upstairs na ana confidence balaa.
 
Haya mambo ya "she is beautiful" si ndiyo haya haya CHADEMA mnawabonda kila siku watu waliomchagua Kikwete kwa msingi wa kwamba eti ni "handsome"?. Sasa hiki chama ambacho kinatakiwa kuwa mbadala, kinatuletea habari hizi hizi?

Kama unaona "she is beautiful/ handsome" kanywe naye chai, hilo linahusiana nini na uongozi?

Muanishaji wa hii thread kwa kuweka upupu kama huu katika vitu alivyoangalia kumpa umahiri kashatuonyesha kwamba standards zake ziko chini kweli kweli.

duh! mbona umekuwa mkali hivyo???una nini na dada huyu au ni wivu tu???
mleta mada ametaja sifa nyingi sana na akamalizia kuwa the lady is beautiful.....which is TRUE. tofauti na brother/babako/mshikaji wako/ you name it ambaye alikuwa anaficha udhaifu wake kwenye sura ili wanawake wamchague...unfortunately hata wanaume wakamchagua kwa kigezo hicho if NOT taja strength aliyonayo inayolisaidia taifa kwa sasa..............
 
To me Regia Mtema is another shouter in the political arena.She is poor in discipline and also ''limbukeni'' in politics, so i don't wonder any of her misbehavior to any body apart from her part Secretary General (slaa).

Mwanafalsafa mmoja aliwahi kuniambia kuwa Mungu anasababu zake katika kuumba watu wa aina hii.In most cases, most of them (disabled) ni wakorofi basing on their inferiority.
 
duh! mbona umekuwa mkali hivyo???una nini na dada huyu au ni wivu tu???
mleta mada ametaja sifa nyingi sana na akamalizia kuwa the lady is beautiful.....which is TRUE. tofauti na brother/babako/mshikaji wako/ you name it ambaye alikuwa anaficha udhaifu wake kwenye sura ili wanawake wamchague...unfortunately hata wanaume wakamchagua kwa kigezo hicho if NOT taja strength aliyonayo inayolisaidia taifa kwa sasa..............

Huyu hapa kashaona ukiwa critical kuhusu mbunge wa CHADEMA lazima we ni clique ya CCM. Kazi kweli kweli, check my record hapa.

Nimesema hizo sifa za energetic, patriotic, confident etc zilizotajwa hazijawekewa specifics.

Mna kitu gani hususan cha kutuambia umahiri huu ukubalike, tusione mnampigia debe rafiki yenu tu?

Beauty si criteria ya umahiri wa kisiasa kwa sababu siasa si beauty contest, kwa hiyo mleta mada kwa kuweka criteria ambayo haihusiki katuonyesha hayuko makini, na pengine ameweka hapa sifa za kilemba cha ukoka kutokana na matamanio yake ya kimwili tu.

Mpaka sasa umahiri sijauona, sanasana wengine wamekuja na kumuonyesha kwamba hana discipline hata kwa wakubwa wa chama chake. Sasa huyu asiyeweza kunyenyekea hata wakubwa wa chama chake anaweza kuwanyenyekea wananchi?
 
Hayupo siriazi

hata GX 100 yake ina kawaida ya kuzimazima,nyumba kamaliza kujenga lakini nyufa zishaanza, kazi ya uwakili wateja wake wakubwa ni wafanyabiashara wa kutembeza CD mitaani, wapakaji rangi za kucha,n.k. tembocard mastercard yake ya kuazima tu itakuwa
 
Utakuwa unajua bifu yao ya kugombania jimbo la Kilombero. Napendekeza mmoja atafutiwe jimbo lingine ikishindikana wote watoswe wabaki wabungeni wa viti maalum. Kilombero hata akiwekwa mwingine kura atapata kinakubalika chama ni kuweka mtu makini tu.
Nawasalute sana suzan kiwanga na Regia mtema.
 
Back
Top Bottom