Kwangu mie Ushamba sio Ujinga !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Nakumbuka sana changamoto nilizokua nimekutana nazo by the time najiunga Jf, binafsi yangu nimepata kuwasaidia maelekezo Members wenzangu wa4 namna ya kujiunga Jf.
Tofauti na mimi wakati najiunga sikubahatika kupata aid kutoka popote.
Nilicheza na mai-instructions frm A to Z , wakati mwingine instructions nilikua nikizielewa visivyo na uhalisia wake !
Wakati huo nikiwa muumini mzuri wa Fcbk, sikukata tamaa, nikaparangana hatimae nikafanikiwa, na mara nilipothibishiwa as a member complited, nikatumia kama siku 3 hivi nikisoma mazingira kwa kusoma post za members.
Sikuwa nikifahamu hapo nitakapohitaji nami kutoa post nitalazimika kujisajili upya! Kitu nilichokifahamu baadae.
Na nilipofika wakati wa ku'creat Thread nakumbuka Sredi zangu za kwanza-kwanza zilikua za Kishambashamba na siku baada ya nikajikuta taratibu natambua nini ni nini !
Leo natambua chochote kile ukianzacho siku za awali hakikosi ushamba flani, na usio ujinga.
Hivyo ndivyo niaminivyo mie sijui wenzangu kama kuna aliyepata changamoto flani flani wakati anajoin Jf. Naimani kuna waliojoin kiulaini , au vinginevyo.
Hakuna ubaya nawe my fellow member utakaepita hapa ukanipa nawe ulivyopitia hatua za hadi kufikia kua Jf member.
 
ndio maana ukajiita hivyo:
Kusema ukwe j, nasoma sana comments na post zako, we ni mtu muhimu na mahalumu sana jf,uliona na unazid kuona mbali, kwa cku ya leo na ucku huu, hii ndio post nilio vutiwa na kuipenda!
Maisha nikujifunza, fikiria leo hii mtu angekuletea video yako ya utoto ulvyo kuwa unaongea na ufananishe na leo.

Napenda kuheshimu sana michango ya watu yenye mitazamo tofauti.

Tu elimishane kwa njia hihii ili tuweze kuwa weka sawa wenzetu wapya watako kuja kwa lugha rahisi na isip na maudhi au kukatisha tamaa ili hii forumu indelee kusheshika.

Idumu JF,Udumu uwepo judgement!
NAWASILISHA.
 
Mimi nilichangia kwa muda mrefu kupitia ID ya mtu mngine, so nilipata time ya kufunzwa namna ya kuchangia na kujichanganya. By the time I joined nilikua na uzoefu mkubwa. But kuumbuka sio lazima uwe rookie, hata senior exxpert members wa 1000 posts plus wanaumbuka tu. :)
 
Bakulutu,
Nimefurahi kwa kuutambua uwepo wako hapa kwenye Uzi huu.
Nashukuru kwa mchango wako uliotulia .
Tukirejea semi zenye hekima na busara pia, kama vile
> Hata M'buyu ulianza kama Mchicha !
> Mwanzo wa hesabu ni 1 !
> Mwanzo wa ngoma ni lele !
 
RR ,
Natambua uwepo wako hapa Threadini, pia nimeipenda style ulioianzia hadi ukafika ulipo sasa.
 
Bakulutu,
Nimefurahi kwa kuutambua uwepo wako hapa kwenye Uzi huu.
Nashukuru kwa mchango wako uliotulia .
Tukirejea semi zenye hekima na busara pia, kama vile
> Hata M'buyu ulianza kama Mchicha !
> Mwanzo wa hesabu ni 1 !
> Mwanzo wa ngoma ni lele !

Kweli kabisa kaka..
 
Mi bado mshamba, mambo mengi siyajui humu. Najua kureply na kuanzisha threads. Yaliyobaki nafikiri sio ya muhimu sana.
 
Mi bado mshamba, mambo mengi siyajui humu. Najua kureply na kuanzisha threads. Yaliyobaki nafikiri sio ya muhimu sana.

Hata hayo yanatosha, coz ndiyo hasa ya muhimu, ingawaje naamini yako ya ziada unayoyafahamu. pia nimeutambua uwepo wako hapa kwa, kwa furaha.
Pamoja na hayo leo Dia umeniumbua ! Najisikiaje aibu ? Uso umenishuka has'sa !
 
nini tena! Njo chumbani tuongee. Lol
 
plz usimame ukuelekeze mlango wa chumbani.

Kwa kua naiona hali inazidi kua tete, incase nikizimika usiku huu,
basi waambie ndugu zangu wasinisafirishe Tanga , nizikwe hapa hapa tu !
Na huyo niliemuacha tumboni ukijifungua salama mwite Judgement Junior! If a Babyboy,
if gal Husny Junior
 
I didnt face complications nyingi..Sema at first unakuta members wanapiga story hewa which sounds so real, made me wonder members wa jf wengi wanajuana nini?!
Slowly i adjusted and became a family... Lol!
 
Back
Top Bottom