Kwamwe Uislam usihusishwe na wasiosoma/waliokosa Elimu nifuatilie

Jamaa hapo juu utafukuza waislam uliowaajiri kwani wewe hazina? Au we ndio kampun pekee! Kauli zako hazina mashiko,sifikirii msomi kama wewe ungeweza kuongea pumba kama hizo.wenye akili timamu wanachangia na kutafakari hasa ni waislam wote wanaofanya hizo fujo? We unaibuka na hilo la ajira! Ahahaaa!

Sasa kilichokufurahisha nini hapo mpaka unacheka kishambenga namna hiyo? Ndiyo keshaamua kufukuza waisilamu ukitaka fungua duka la tende na halua uwaajiri atakaowatimua! Si mnasema mfumo kristo? Leo unaona hasira wanapotimuliwa kazi? Dharau mbaya sana!
 
tusihusishwe wote mkuu
Kwa kweli tuseme ukweli, mimi naamini kuwa yapo mambo mengi ya siri ya udini yanayoendelea pasipo sisi wengine kujua na hasa yakifumuka sina hakika kama tutakuwa na tz hii,

Nashawishika hivi kwa sababu huyu mwenzetu anayekataa matukio mabaya yanayoendelea sasa kuwa tusiyahusishe na uislam, naamini hajui kinachoendelea, na anakuwa mtu wa kukataa ukweli hata kama anauona kwa macho yake vinginevyo basi ataje muhusika hasa anayefikiri kumjua zaidi ya ushahidi uliopo..

Sina uhakika kama amewahi kuhudhuria makongamano na mihadhara iliyokwisha fanyika na kutafakari maazimio yanayowekwa kwa ajili ya siku zijazo na akayalinganisha na kinachotokea sasa.

Nashauri Tujifunze kukubali ukweli tulioshiriki kuutekeleza hata kama kukubali kwetu kutakuwa kunatufanya kuwa wa ajabu mbele ya wastaarabu, lakini tuukubali. katika hili lisitafuttiwe mshiriki mwingine zaidi ya wanaotajwa.tabia hii njema itasaidia kusahihishana na kurudi katika mstari.
 
wagalla dawa yenu inachemka, ichemsheni na mtainywa tu, wenzenu wamekaa kimyaa msijue uovu mulianza na mulizaliwa nao nyie, sasa watu wamelala wanawasubiri tu, na kwa kweli nashauri wazenj waishi tu kivyao
 
Hivi wakiristo ndo wamesoma ? Nikiangalia miaka kumi iliyopita kwa mwaka graduates walikua labda 3000 kutoka vyuo mbali mbali sasa tujaalie wote ni wakiristo jee walobaki amnao hawakufika vyuoni! Wao wapo grade gani?
Ama idadi ya wanafunzi wa form 4 ni sawa tu baina ya wakiristo na waislam
Idadi inapungua ya waislam inapungua form 6 na vyuoni
Hivyo jeshi la wajinga nchii hii ni kubwa na lipo kote kote
Lalkini. Waislam wengi zaid wapo mijin na wakiristo wengi zaid wapo vijijini hivyo hapo kama mjini ni shule basi utaona wapi wameelimia zaid
Utaona elimu ya madrassa inmtoa mtu ujinga kuliko huyo anaemaliza form 4 labda kama kuelima ni kuongea kizungu
Wazo langu tanzania wasomi wetu ni chini ya asilimia 10 ya watu wote walobaki wameenda tu shule kunywa uji
Hakuna kuchekana ndo maAna tunepewa vyandarua kwa kutoa dhahabu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa kweli tuseme ukweli, mimi naamini kuwa yapo mambo mengi ya siri ya udini yanayoendelea pasipo sisi wengine kujua na hasa yakifumuka sina hakika kama tutakuwa na tz hii,

Nashawishika hivi kwa sababu huyu mwenzetu anayekataa matukio mabaya yanayoendelea sasa kuwa tusiyahusishe na uislam, naamini hajui kinachoendelea, na anakuwa mtu wa kukataa ukweli hata kama anauona kwa macho yake vinginevyo basi ataje muhusika hasa anayefikiri kumjua zaidi ya ushahidi uliopo..

Sina uhakika kama amewahi kuhudhuria makongamano na mihadhara iliyokwisha fanyika na kutafakari maazimio yanayowekwa kwa ajili ya siku zijazo na akayalinganisha na kinachotokea sasa.

Nashauri Tujifunze kukubali ukweli tulioshiriki kuutekeleza hata kama kukubali kwetu kutakuwa kunatufanya kuwa wa ajabu mbele ya wastaarabu, lakini tuukubali. katika hili lisitafuttiwe mshiriki mwingine zaidi ya wanaotajwa.tabia hii njema itasaidia kusahihishana na kurudi katika mstari.

unajua kanisa lengo lao kuu, hujui kitu, unajua waliosoma vizuri ugallatia wanajua siri iliyopo nyum ya pazia?

unajua kuwa sasa imebaki kuwa biashara na viongozi wenu hawawaweki wazi hilo? papa alisema kaeni vizuri na waislam unajua siri ya maneno yake? unajua misemo ya aliyesoma na asiyesoma, tajiri na masilikini katika njia kesho kwa mungu, unajua nafasi uislam na ukiristo? unajua ni nini wewew hembu sema
 
Wewe usituchekeshe, waisalam mna shida laa tukubaliane,tena nashangaa kuona mtu anasema tusihusishe uislam na uchomaji moto makanisa, wao wenyewe wamesema sasa unatwambia nn? mimi sasahv siwapendi kupita maelezo,nlikuwa nawaona ni ndugu lkn baada ya kuchoma kanisa langu ambalo tulijinyima na kuchanga aisee sitawapenda milele,na nafukuza waislam wote nliokuwa nimwwaajiri maana nmegundua sio watu wazuri na mna roho za wivu. kosa afanye mtoto ambae anaweza kuadhibiwa kwa fimbo badala yake mnaenda kuchoma na kuiba makanisan,kama sio chuki na wivu ni nn! Yan sitaki hata rafiki wala jiran mwislam milele. Mmepanda kitu kibaya sana. Hao wenye busara misikitn hawapo?kwann msishauriane mambo ya maana huko misikitn badala ya kufata mikumbo,kila jambo analosema ponda au farid wengne wanafuata tu kama kondoo
kwenda zako umemuajiri nani kibaka wewe, fukuza basi tuone labda kama serikalini maana tunajua wafanyakazi wa serikali 90% wakristo, alafu wewe utakuwa dokta silaha sio bure
 
Kwa kawaida yanapotokea machafuko ya namna kama ile ya Mbagala, Kariakaoo na kuwawa polisi znz, yanasemwa mengi hata yale waliyokuwa wakinong'onwa na watu fulanfulan yanajitokeza leo.

Nimejikuta nakutana na watu wakisema waislam hawakufanikiwa kupata elimu kama walivyo wengine, laa. Ni kosa kubwa.

Ni kosa kubwa na ujinga kuwaza hilo, waliofanikiwa kusoma 1. biBle au Divinity hata theologia na 2. waliofanikiwa kusoma Islamic Knowlegde si lazima awe amefikia sharia, atakubaliana nami kwamba hata siku moja usichanganye haya mambo, siri ya waliosoma haya mambo wanaijua wao. kwa ufupi SANA ELEWA HIVYO

Ninaawasihi watanzania wenzangu msikurupuke kubainisha mambo bila kujua undani wake, usimdharau mtu ukadhani hajui kitu, wewe nde mtumwa wa elimu ya wakoloni. Pamoja na hili, kuwachanganya waislam na fujo zilizotokea si vizuri, kulijudge na kuanza kumnyooshea kidole mtu/binadamu mwingine, eti kwa kuwa ni muislam, watanzania watakuwa wanafanya kosa la kulijutia kuwamulika waislam kama wenye fujo.

Tanzania haitakalika na wewe hutakuwa na amani.Nakutana na watu wengi sana, kuchomwa makanisa pale mbagala, hata ofisini kwangu limeniathiri jambo hili, kwa kawaida halinipendezi... persuation ndio nyenzo sahihi kumbadili imani mtu sio nguvu, uislam uko hivyo, wanaotumia nguvu wanakosea, nguvu kwa maana ya kutukana wengine, achilia mbali kuchoma nk,

Sifurahishwi na linayoyaona ofisini na kwa hili utendaji kazi, uchumi na maendeleo ya nchi hii yatapata anguko kubwa, tulizoea sababu mbalimbali zinazochangia kudidimiza chumi zetu, ikiwa pamoja na vita, ukame, nk lkn hizi fujo na mtafaruku vichwani mwa waislam na wakiristu makazini tusitemee maendeleo ya nchi yetu.

Nasikitika kwamba hata Rais ajae, 2015 swala udini ni jambo kubwa hata kuliko kawaida ya sifa na mvuto wa kumwingiza mtu madarakani, mashuleni, majeshini, hospitalini, magerezani, mahakamani, na ktk huduma nyingi udini utafanya kazi yake kutoka sasa, waislam tunasema huu ni msiba mkubwa, vile utaathiri vizazi vijavyo. basi hata tungekuwa tumeoleana,ingesaidia, mbona ukabila hakuna kwa sana, ni kwa kuwa tuna wakwe na wake na waume ktk makabila yenza,ikasaidia kuondoa hisia mbaya ktk wao, katika mambo mabaya ktk jamii ya kiislam na kikiristo ni kuoa au kuolewa na imani ya pili, ni kama yanga na simba, manchester united na man city, chui na mbuzi. kwa kuwa kuoleana kulishindikana na heko kwa wale walioana. basi chuki haina wa kuiamulia, kwa sabb hata polisi wanadini zao, polisi mwislam na mkiristo, mwana jwtz, hakimu, mwalimu yaani hapa ni fujo na upendeleo hata rushwa haina dhara kubwa kama hili. mungu tulinde na haya mambo. mungu ibariki Nchi hii na watu wake. ameen!

mansakankanmusa, I wish wale viongozi wa CDM waliotoa tamko lao!
 
mimi nimetayarisha mikakati ofisini kwangu,nimemwagiza Hr,application zote azi Screen upya,kama kuna mwislamu ajue interview amefeli,I have my aunt who has home based martenity ward I have reiterated to her not to attend her muslim clients,she is devoted christian na nitafanya hivyo hivyo kwenye vikao vyetu vya management
it is unjustifiable to torch churches for the poor boy who seems to have been pushed by on lookers,
sisi wakristo hata tukienda kuchoma misikiti kuna nini msikitini,mikeka/mazuria, na microphone ya duara inayoning'inia nje?
samani zilizomo ndani ya kanisa moja ni sawa na misikiti 7,
tuwe na busara!! tuache wivu
 
Naomba nichangie yafuatayo:

1. Siku moja nilishangaa sana kusikia mshika kipaza sauti msikitini akibeza waislam wenzake wanaopeleka watoto shule za wazungu. Aliwasema wenzake hao kuwa wanatupa fedha zao bure, alisisitiza sana watoto wapelekwe madrasa. Huu ni udhaifu mmojawapo mkubwa wa namna tunavyojenga watoto wetu. Ndugu yangu mwislamu hebu hapa tubadilike
2. Watoto wasifundishwe kubagua makundi mengine, hapa sisi wote islam na christians tuna wajibu kufanyia kazi. Ni UPUMBAVU wa hali ya juu kumjaza mtotO UJINGA NA UPUUZI wa namna hii; achilia mbali kasoro za kigomvi zilizojitokeza.
Ukifuatilia makundi ya hawa wachochezi utakuta toka utoto wamekuwa katika mafundisho ya chuki kwa wengine, sasa wameiva
3. Hakuna cha kujivunia juu ya mtu mwingine eti kwa kuwa upo ndani ya imani uliyopo .... Umezaliwa na kujikuta humo bila kuchagua. Sasa jeuri yako ya kuwa humo unaipata wapi. Hivi kuna aliyechagua azaliwe ndani ya imani ipi? Mnaolumbana katika dini hivi kweli mnaishi maisha ya utakatifu, Mungu akitoa roho yako sasa hivi utaibukia peponi???? au mnataka kujiongezea dhambi ya kumchukia jirani yako...
4. NI UJINGA KUCHUKIANA KWA MAKUNDI NA UPUMBAVU ULIOPITA VIWANGO; jiepushe, ishi kwa upendo kwa watu wote, dini zote. Huu ndio uwe msingi, anayekiuka basi sheria itende kazi kwa mujibu wa inavyoelekeza
5. Waislamu duniani tunajiweka katika kundi baya kwa matukio wafanyayo watu wajiitao Siasa Kali. Sisi tunaojali maelekezo ya vitabu kama yanavyoelekeza tukatae kuburuzwa na wachache wenye lao jambo kwa visingizio vyenye sura ya "KAMA KWELI VILE" mengi wayasemayo ukifuatilia kwa makini SI YA KWELI. Wengi wanaropoka tu kwa kuwa wana maneno mengi midomoni
6. Waislamu wengi sana wanasikitika sana kwa matendo yaliyotokea; hasa ukiangalia chanzo cha vurumai, huwezi amini kama ni watu wazima wamekaa na kutafakari kwa kina faida ya ushabiki huu wote. Hawakupima gharama halisi ya matendo waliyoyapanga. Adhabu stahili inapaswa kwa mtoto husika kulingana na umri wake na sio kupeleka adhabu kwa kundi ambalo wala halina mahusiano kabisa na tendo anzilishi. WAKRISTO msichukie WAISLAMU. Wapo watu wema wengi sana ndani ya UISLAM
7. IBADA zote wafanyazo binadamu zinalenga safari ya MBINGUNI, Tusitoke kwenye mstari wa uelekeo huo, Mungu ni roho, endesheni mambo yake kwa roho SI kwa NYAMA.
8. To every one: Don't LOOSE HOPE; Ukijiona unapanda jazba katika mambo ya DINI tambua upo nje ya mstari na njia ikupelekayo PEPONI. Katika hali hiyo pia utambue ndo unajipeleka MOTONI.

KAA CHONJO, Tuache UTOTO
 
Hiyo chuki umezaliwa nayo sema umepata sababu tu hapa,lakini KAFIRI YEYOTE chuki dhidi ya muislam amepandikizwa tangu anakua hivyo hata sishangai unavyosema hauwapendi waislam kama awali ulikua unaonyesha tabasam basi ulikua mnafiki tu ila hili ulilosema saiz ndo lililokua moyoni mwako..
Sasa we chukia wala hautapunguza kitu katika uislam na kwa waislam wewe endelea na chuki yako na ufe nayo ukiwa na UKAFIRI WAKO!haumsumbui mtu hapa kwani sisi hatuishi kukutegemea wewe KAFIRI hapa duniani!

Mkuu jamaa ni hatari kupita maelezo na haya si ya moyoni mwake kawaida mtu mmbaya yale anayoyasema kutoka mdomoni huwa ni madogo kuliko yalio moyoni mwake. kama wakristo wote wangekua kama huyu boss wa watu tungeshuhudia mengi natia wasi wasi huyu wala sio mkristo na wala haujui huo ukristo mbona yesu yalimkuta mengi zaidi ya haya.

Sina maana kuchomwa makanisa na vurugu zote zinazotokea ni sawa sio sawa hata kidogo . na ni vitendo vya kulaaniwa kwa nguvu zote. uislamu haufundishi mambo haya popote na wala uislam hauna chuki na wivu kama boss wa wenyewe anavyosema . kinachoendelea katika nchi hii haya ni matatizo ya kiuongozi na kisiasa kwa kutumilia mtaji wa udini kuhusisha na maslahi yao binafsi na hii ni hatari kubwa inapiga hodi. nimeamini kuna wakristu maboya pia kuna waislam maboya wote hawa ni hatari.

Boss kwaito ingekuwa busara ukaanza kuhudhuria kanisani bila kukosa inanoenekana umezaliwa tu mkristo lakini hufahamu dini yako . waislamu na wakristu huwezi kuwabagua kwa chuki kama zako, kwani wamekuwa pamoja mtaani na kusoma pamoja na hata kufanya kazi pamoja na mambo mengine mengi.
 
nawapenda waislamu,naishi na waislamu...wakati wa mfungo nakaribishwa futari...nafanya kazi na waislamu...I real enjoy my life, nimezungukwa na waislamu wa ukweli lakini hamna shida...poleni mliozungukwa na waislamu njaa,waislamu vibaka.
mimi waislamu wamenifanya niwe naenda kanisani mara kwa mara kwani huwa naona aibu wenzangu wanaenda msikitini mara tano kwa siku wakati mimi mara moja kwa wiki kanisani ni ishu na mara nyingi nachelewa.
 
Wewe usituchekeshe, waisalam mna shida laa tukubaliane,tena nashangaa kuona mtu anasema tusihusishe uislam na uchomaji moto makanisa, wao wenyewe wamesema sasa unatwambia nn? mimi sasahv siwapendi kupita maelezo,nlikuwa nawaona ni ndugu lkn baada ya kuchoma kanisa langu ambalo tulijinyima na kuchanga aisee sitawapenda milele,na nafukuza waislam wote nliokuwa nimwwaajiri maana nmegundua sio watu wazuri na mna roho za wivu. kosa afanye mtoto ambae anaweza kuadhibiwa kwa fimbo badala yake mnaenda kuchoma na kuiba makanisan,kama sio chuki na wivu ni nn! Yan sitaki hata rafiki wala jiran mwislam milele. Mmepanda kitu kibaya sana. Hao wenye busara misikitn hawapo?kwann msishauriane mambo ya maana huko misikitn badala ya kufata mikumbo,kila jambo analosema ponda au farid wengne wanafuata tu kama kondoo


Teh! Teh! Teh! Eti nawafukuza kazi niliowaajiri, naona unajitangazia kwamba nawewe unaajiri watu, Siombaya mana ni uwezo wako wa kufikiri na misifa yako ndivyo vinavyo kupeleka puta, ila kiukweli huwezi kuwakwepa MUSLIMS popote pale mana hata nikikushauri ujinyonge ninaamini bado utakutananao na nisheria ya kiisilamu ndiyo itakuhukumu siku ya mwisho. Pole sana mchukia uisilamu!.
 
Back
Top Bottom