Kwakweli bado nampenda

pole sana mkabidhi muda wako muumba naye atakuokoa na kukuepusha na mawazo kupitia njia ya kwaya na kusali muda mwingi kama ni mkristo, kama ni muismula basi nenda kashinde msikitini ukizingatia swala tano

kama imani yake aba itamsaidia kweli?
 
Jitahidi kujichanganya sana na wenzio, usiende pia zile sehemu ulizozoea kwenda nae, jipe muda uanze ku date tena maisha yaende
 
pole lakini upendo kweli unapokuwa umeingia ndani ya roho huwa ni kitu kigumu sana lakini jitahidi sana kutomuwaza maana unaweza kuathirika zaidi kisaikolojia ukiendelea kumuwaza sana.
 
yaani ipo hivi;usije ukaacha kabla ya kupata.kwa ushauri wangu huyo bado unampenda.hauna budi kuendeleza penzi lenu.angalia mbele sahau yaliyopita.inaonekana umejilazimisha kumuacha wakati bado unampenda.wewe umepata kishawishi.unamuonea mwenzio.mia
 
Back
Top Bottom