Kwako wewe, nani ni Greatest Icon(Greatest Political Figure) wa Afrika?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Siku si nyingi nilikuwa huko katika nchi za wenzetu. Katika maongezi ya kawaida huku tukisubiri lunch jamaa mmoja akaniuliza, ni nani Icon wa Afrika? Kimsingi nilimjibu ingawa mimi mwenyewe sikuliamini jibu langu.

Mwanajukwaa(Mwana JF); naomba nikuulize, kwako wewe kati ya hawa ni nani ALAMA(GREATEST ICON OF AFRICA)? Kwa nini umemchagua.

NB: Nimeweka orodha ili kurahisisha kuwakumbuk, thoug unaweza kumuweka yeyote ambaye jayumo katika orodha yangu

1. Mwl Julius K. Nyerere (Tanzania)
2. Mzee Jomo Kenyatta (Kenya)
3. Milton Apollo Obote (Uganda)
4. Keneth Kaunda (Zambia)
5. Samora Moises Machel (Msumbiji)
6. Nelson Rohlahla Mandela (Afrika Kusini)
7. Ahmed Ben Bella (Algeria)
8. Gamal Abdel Nasser (Misri)
9. Muammar Al Gaddafi (Libya)
10. Patrice Lumumba (Congo Kinshasa, DRC)
11. Kwame Nkrumah (Ghana)
12. Nnamdi Azikiwe (Nigeria)
13. Haille Selasie (Ethiopia)
14. Antonio Agostinho Netto (Angola)
15. Sam Nujoma (Namibia)
16. Leopold Sedar Senghor (Senegal)
17. Sylvanus Olympio (Togo)
18. Robert Gabriel Mugabe (Zimbabwe)
19. Ahmed Sekou Toure (Guinea)
20. Marien Nguema (Congo Brazaville)
 
mandela ni no one....
labda nyerere second.....
but mimi yangu yupo
salim a salim.....
raila odinga...
 
mbona mkuu wetu wa sasa umemsahau, au yeye siyo,..... si nasikia ana sifa ntingi sana nje ya nchi?
 
Nyerere. He led liberation struggles for most of African nations,Angola,Namibia,SA,Mozambique etc. Though he didn't live to see a liberalised TZ,but he laid some foundations for a soon to be liberalised TZ.

Nkurumah follows in the list due to his true desire to see a United Africa; too bad he and Nyerere didn't live to see that happening.

I rank Mandela the last. I personally consider him an African leader who has been popular to sympaths from his supporters due to the time he spent in prison. Thus I can't even put him in top 5! He hasn't done anything good for Africa.

I stand to be CORRECTED.
 
mbona mkuu wetu wa sasa umemsahau, au yeye siyo,..... si nasikia ana sifa ntingi sana nje ya nchi?

Sijamsahau, ila nilihisi Figures wa kweli ni wale wa kizazi cha akina Nyerere. Waliopigania uhuru wa kisiasa
 
SAID MWEMA
kanifurahisha sana kwa kazi nzuri ya Arusha nadhani watoto na baba tutaheshimiana.
 
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Ali Hassan Mwinyi
3. Seif Sharrif Hamad
4. Kwame Nkrumah
5. Iddi Amin Dada
 
I only salute Mandela, He had no revenge to whites (racist).
Na ndie pekee alieacha madaraka kwa hiari pasipo 'kusoma alama za nyakati' kama baba wetu wa taifa alivyofanya kututawala kwa zaidi ya miongo 2.

Viva madiba.
 
ni rais gani anayeweza kupigana kukaa meza moja na adui kuweka mkataba na kuutekeleza?KUKUBALI KUGAWA NCHI-HUYO NI HASSAN EL BASHIR WA SUDAN tuseme ukweli ana moyo wa pekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom