Kwako Moderator

naona unapenda nikupe profile yangu ya ukweli -female African Black very black women age-- count 0ne -to 42 =24

1.status- doubel= unazo zote? me na ke
2. children - 2 .boy and gal
3. Business women- magomeni migomigo
4. part time - studying english cource and secondary education
5. Hobbies ---dacing ,singing ,cooking ,eating , kobe Bryant, mikael Jacson/taison -sijui nyingine
2. Dislike .... sleeping ,gossiping and so and so

Nisahihishe bwana mie sijui
Nimeipenda hii profile.
 
wengine watachagua ambazo si za kwao kama ni mume ataeka mke kama ni mke ataeka mume ilmradi tuu kuchanganya habari
Crispin alishanihabarisha hiyo kule kwenye thread nyingine watu wanadiriki kusema ni mashosti kumbe ni midume lol!
 
huo ni ukosefu wa self confidence
 
safi sana shostito, very good idea. hii itawapa akina masanilo &co ltd good choice of ladies na pia itawasaidia kila mtu kupata wake maana kwa sasa wanagombania hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom