Kwako mbunge wangu Regia mtema; TAKURURU

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Swali langu linahusu taasisi inayoitwa takukuru naomba swali hili uniulizie bungeni nikiwa kama mlipa kodi wa nchi hii.
Takukuru mwaka 2010 ilitumia kiasi gani cha fedha kwa mwaka mzima??
Walipokea malalamiko mangapi na mangapi kati yao waliweza kuyafanyia kazi??
Kati ya hayo malalamiko waliyopokea ni mangapi waliweza kuyafikisha mahakamani??
Kati ya hayo waliyoyafikisha mahakamani ni mangapi walishinda na mangapi walishindwa ??
Ni watu wangapi walifungwa mwaka mzima wa 2010 ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa takukuru???

Swali la niongeza:
Litokane na jibu la mheshimiwa waziri nalo swali litakuwa je kiasi cha fedha kilichotumiwa mwaka 2010 je kinalingana na matokeo ya kazi waliyoifanya???
Does the perfomance worth the money the country is spending on it??? je haoni kuwa kama fedha hizo zilizotumika zingeweza kuwa manufaa zaidi
kama zingejenga shule au hospitali badala ya kutumika kuwafunga watu wanne kwa mwaka mzima???
 
Ninachojua ni kuwa Mwakalebela na mkewe pale Iringa waliishinda Takukunguru(respect@Rev.Masanilo) kwa aibu sana mahakamani, na takukuru wakaonekana ni comedians!...Actually wanaweza kufunguliwa defamation lawsuit ya millions na kuitia serikali majaribuni!

Kiukweli kuna kila sababu ya kufanya cost-benefit analysis ya kuwepo kwa taasisi hii isiyo na meno!
 
hii taasisi haina manufaa kwa watanzania, sioni kwa nini mh rais agundui hilo na kuifuta
 
Ninachojua ni kuwa Mwakalebela na mkewe pale Iringa waliishinda Takukunguru(respect@Rev.Masanilo) kwa aibu sana mahakamani, na takukuru wakaonekana ni comedians!...Actually wanaweza kufunguliwa defamation lawsuit ya millions na kuitia serikali majaribuni!

Kiukweli kuna kila sababu ya kufanya cost-benefit analysis ya kuwepo kwa taasisi hii isiyo na meno!

Iwapo maswali ya msingi yatajibiwa vizuri hapo juu (toka kwa politiki), of which obviously gharama itakuwa ni kubwa na hakuna kesi za maana walizo register, itatosha ku justify their elimination unless iwe proven inabaki kwa manufaa ya nani.
 
Back
Top Bottom