Kwako kaka Mpina

Mh, Mpina pamoja na kutokuwepo wakati wa kupiga kura angalu yeye ameonyesha watanzania jinsi tunavyo liwa lasilimali zetu pasipo la kufanya yeye nafsi imemsuta angalau akawamegea Wtz kidogo.

Kuliko wale ambao mikono yao katika kuwatetea wtz ni kupiga meza na kuimba CCm.......CCm........bila kujali ndugu zao waliowapa ugali wanateseka wanapata mlo mmoja kwa siku tumpongeze, tumtie moyo, kwani hawa ndugu zetu sio waungwana hawapendi kuguswa ktk kile walicho kwisha weka ndani ya matumbo yao. Ona walivyotaka kumfanya H.Mwakyembe katika kumpoza na madhambi yao Rais akampa Uwaziri ili asahahu yaliyopita.Mjwahuzia
 
heri Mpina kuliko Mwigulu, captain Komba,Lusinde na wabunge wa viti maalum wa CCM
 
Mh, Mpina pamoja na kutokuwepo wakati wa kupiga kura angalu yeye ameonyesha watanzania jinsi tunavyo liwa lasilimali zetu pasipo la kufanya yeye nafsi imemsuta angalau akawamegea Wtz kidogo.

Kwa kweli huyu ndg ameonesha uzalendo mkubwa kwa taifa letu, je hivyo ndivyo anavyo amini? ama amesoma alama za nyakati? lakini hapa kisesa tayari kuna moto WA CDM, ninadhani afanye uwamuzi sasa.
 
Hapo ipo kazi, aziache posho zote za magamba.... ila inawezekana na kwa kuwa hakusikilizwa, tena amedharauliwa, hata hawakutaka kumjibu, kazi kwake

mwita hebu nipe hali ya mambo huko jimboni, hivi Nyambari ataendelea 2015, ki ujumla katika mkoa wa Mara jimbo gani litakwenda na lipi litabaki?
 
Nadhani ifike mahali kura zipigwe kwa siri, kwa sasa CCM Wanachofanya ni kiini macho

Hakuna sababu ya kukaa muda wote miezi mitatu wakati majibu wanayo ni kuunga mkono budget 100% huku maelezo yanaonyesha amekataa kwa 60%. Hawapo serious hawa jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom