Kwako Kafulila David Kafulila

Mar 22, 2012
33
11
Mh.Kafulila,ulikimbia kwa makamanda wa CDM ukaenda kwa mamluki wa Magamba. Natabiri utaporomoka kisiasa hata kupotea kabisa. Nakushauri rudi CDM omba msamaha hata kama ni kupoteza ubunge lkn nyota yako kisiasa itang'ara zaidi ukiwa na makamanda wa ukweli. Kafulila zingatia hili!
 
Ushauri mzuri.Ila watu wa kigoma bwana hawatabiriki wengi wao uraia wao kwanza wa utata.Kina said maulidi,wanamzuki wote wanasema wametoka huko.
 
ah usimlazimishe...hii nchi ina uhuru na mojawapo ya mambo mnafanya kiuhuru ni kumuachia mtu yoyote kushabkia na kujiunga na chama chochote kile akitakacho..hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vingi.
 
CUF liler tatizo lako ni umbea na uzandiki ila ukiomba msamaha utarudishwa Kundini(wamekuletea Mbatia akukanyagie humo humo ndani maana nje ulukuwa unamsumbua,sasa kazi kwako si ulitaka kumpokonya uenyekiti?sasa bungeni utampisha kiti
 
ah usimlazimishe...hii nchi ina uhuru na mojawapo ya mambo mnafanya kiuhuru ni kumuachia mtu yoyote kushabkia na kujiunga na chama chochote kile akitakacho..hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vingi.

mkuu mtoto wa mjini tofautisha kati ya USHAURI na LAZIMA,mleta mada kasema anatoa ushauri wa bure hajasema anamlazimisha
jamani tuwe tunasoma na kuele vizur badala ya kushambuliana ukiona hujaelewa kaa kimya si lazima kuchangia kila post.
 
Ubarikiwe LEYANA, Mungu akurehemu, umetoa ushauri wenye afya na wenye upako wa kimungu. Akikubari amepona, akikudharau shauri yake, atapotea pole pole.
 
Back
Top Bottom