Kwako Dada Naijusaki Lekangai: Maneno Mawili Matatu Kutoka Kwangu!

Dada Naisujaki Lekangai takwenya. Naomba niwe wa kwanza kukufundisha angalau lugha mojawapo ya asili yako. Takwenya ni salamu inayotumiwa na wanaume kusalimu wanawake. Mwanamke anatakiwa kujibu iiko.
Kujifunza lugha itaegemea pia na utayari wako wa kutaka kujifunza. Karibu sana nipo tayari kukufunza angalau maneno mawili matatu ya kuombea maji
Obi, mwache.Anataka kujifunza kiorombo eti akamsurprise boyfriend wake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Obi
Hallo Elia, naona mhusika kajitokeza kujieleza. Namwonea huruma sana.
Kuna jamaa tuponae kwa ofisi amekulia hapahapa tz amesoma hapa tz std 1 up to university. kunasiku eti anauliza makabila yanayopatikana mkoani kwao wakati mimi natoka upande mwingine kabisa wa nchii (kwao). unajua nilimjibujeee? wahindi, waarabu wachina, wasomali watu wakaangua kicheko pale ofisini mpaka basi
 
ebana daaaaaaaaaaaaaah nimesisimkwa jinsi brother alivyomchambua kuanzia utosini mpk unyayoni. ila ni mtazamo tu
 
Erotica hajambo.Platozoom siku hizi ni mod?


Halo The secretary. Hujambo? Erotica yuko fit kiasi. Mapacha wamemchosha. platozoom anajitangaza kuwa yeye ni Mod tena eti ni JF Founder. Umeisahau ile thread yake moja aliyoitoa kwenye jukwaa la Complaints and Advice akielezea jinsi JF ilivyoanzishwa? Sikupenda kumtilia shaka. Kama si Mod hakuna kitakachoharibika.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom