Kwako Binti Mrembo Inakuhusu

Samahani wadau kama ipo humu basi mod waiunge,ujumbe nimeupata Facebook nimeona wadada pia wa JF waupate.

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki (unatumika) unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali naunadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out, drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu, machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani.

HII NI KWA WADADA WOTE WANAOJIONA WAO NI WAREMBO NA WAZURI KWA DHARAU NA DRAMA ZAO

Nimependa zaidi hapo.......pole naona limekukuta,ndo maisha,songa mbele!..... usikate tamaa
 
warembo bwana huwa wana udisturbia kidesign...utasikia mwingine unamwambia fact kwamba akiendeleza ujinga hali itakuwa siyo anakujibu ...u must not know abt me u must not know abt me...I can have another u in a minute...
 
lara 1 at work!!..lol
Wapi Natalia ???.....

Kongosho NIMEITIKIA WITO!!!

Hahahaaaaaaa! HAYO MANENO YA MKOSAJI!!!! Kanyimwa KIDUDE analeta SIZITAKI HIZI MBICHI!!! LOLEST! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ Ally Choki! Heri kuolewa na kioo kuliko ZOMBIIIII! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa UREMBO ukashindwa kupata Furaha, Then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule MWENYE KISU KIKALI NDIE ANAEKULA NYAMA. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA! LOL!

I will never SETTLE FOR LESS THAN WHAT I DESRVE/WANT!!!!

Wimbo wa WOMAN ON FIRE by Alicia Keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe wa kiume lakini I have to wait what I deserve... Kha! Unaolewa / kuoa wa saizi yako ndo maana hata david beckham akamuoa posh "vicky,, jay z akamuoa beyonce etc sio kama wajinga na hawapendwi na wengine hapana, mwenye kisu kikali ndio atakaekula nyama... Yaan we uvivu wako uje ku take advantage kwa mtu... Ndege wafananao ndo huruka pamoja

Its better to remain single for life that getting married with a wrong one...
 
Actions speak louder than words kwa hyo ni uvivu wa wanaume kumsoma mdada mrembo,kuna njia nyingi za kusema hapana na pia akili za kuelewa so the longer you take to read my actions the more suffering you get while im off looking for my swthat,kwa hyo tafuteni jinsi ya kuelewa haraka,
Ndio nyie mnaosababisha wenzenu waumie bila sababu, si umuambie tu YES or NO, sasa unampa kazi ya kukusoma kwani wewe kitabu cha physics (Abbot?) na wewe nguvu yote ya kutengeneza drama si ukapike vitumbua uuze upate faida? kupotezeana muda bila sababu tu...
 
Samahani wadau kama ipo humu basi mod waiunge,ujumbe nimeupata Facebook nimeona wadada pia wa JF waupate.

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki (unatumika) unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali naunadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out, drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu, machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani.

HII NI KWA WADADA WOTE WANAOJIONA WAO NI WAREMBO NA WAZURI KWA DHARAU NA DRAMA ZAO

maneno kuntu!!wamekusikia mkuu
 
Kongosho NIMEITIKIA WITO!!!

Hahahaaaaaaa! HAYO MANENO YA MKOSAJI!!!! Kanyimwa KIDUDE analeta SIZITAKI HIZI MBICHI!!! LOLEST! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ Ally Choki! Heri kuolewa na kioo kuliko ZOMBIIIII! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa UREMBO ukashindwa kupata Furaha, Then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule MWENYE KISU KIKALI NDIE ANAEKULA NYAMA. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA! LOL!

I will never SETTLE FOR LESS THAN WHAT I DESRVE/WANT!!!!

Wimbo wa WOMAN ON FIRE by Alicia Keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!

Hapo kwenye bluu,nimepapenda,hata sijui kwa nini!
 
Samahani wadau kama ipo humu basi mod waiunge,ujumbe nimeupata Facebook nimeona wadada pia wa JF waupate.

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki (unatumika) unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali naunadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out, drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu, machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani.

HII NI KWA WADADA WOTE WANAOJIONA WAO NI WAREMBO NA WAZURI KWA DHARAU NA DRAMA ZAO

Pole sana, its like una experience na hii. Ni somo zuri.
 
Yeye mwenyewe kakiweka kiuno hapa, sasa nifanyeje?

Heh, nije nikusaidie kurusha numi hata hewani?
You are better than huyo aliyetaka kukudhalilisha, ndio maana akataka kukudhalilisha ili ujione piriton.

Usimpe satisfaction ya kuharibu siku yako hata kama hakuoni.

unaongelea kiuno ama hapo makutano junction?
Afu leo nimedhalilishwa kijinsia na nimeshindwa kurusha ngumi. Nna hasira balaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom