Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwake kuna mabomu, mgogoro Arusha. Anaenda kusuluhisha kwa wengine Tujadili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by issenye, Feb 22, 2011.

 1. i

  issenye JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  file:///C:/Documents%20and%20Settings/user/Desktop/02_11_fugp4w.jpg
  Watoto wa Mauritania wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kwa tende na maziwa alipowasili jijini Noaukchott kwa ajili ya mkutano wa wakuu wa nchi sita za Afrika wenye jukumu la kutafuta suluhisho la kisiasa nchini Ivory Coast. Kulia kwake ni mwenyeji wake, Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa nchi hiyo.(Picha na Freddy Maro).
   
 2. i

  issenye JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  :nono::nono::nono: 02_11_fugp4w.jpg

  Watoto wa Mauritania wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kwa tende na maziwa alipowasili jijini Noaukchott kwa ajili ya mkutano wa wakuu wa nchi sita za Afrika wenye jukumu la kutafuta suluhisho la kisiasa nchini Ivory Coast. Kulia kwake ni mwenyeji wake, Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa nchi hiyo.(Picha na Freddy Maro).
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Amekimbia kumpisha "Mmiliki wa Dowans" ili ajimwage anavyotaka hapa Tanzania, maana ndiyo wamiliki halali wa TANZANIA hawa!
  Unapewa tende, wakati nchini kwako billions zinatoroshwa!...my neighbour's daughter:A S 112:
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,549
  Likes Received: 912
  Trophy Points: 280
  Mkwere,mkwere,mkwere,...lakn ndio zake nasikia anapenda sana tende huyo_kumbuka kumletea mkeo,na wanao wapendwa ridhiwan na yule teja na mwizi
   
Loading...