Kwaito Kwenda Mbele . . .

IMG_2940.jpg

wabongo washamba sana.......eti mijitu club inacheza sare sare.......
 
Kweli tumekuwa na taifa la wanenguaji,siku hizi kama hujui kucheza kwaito unaonekana mshamba,mimii nilijifungia na mama watoto tukajifunza sasa nimekuwa fundi wa kwaito..
enzi zetu tulikuwa tunaita JIVING, walikuwa wanacheza wanakwaya tu!!
siku hizi ndo minenguo!!!
 
Allien who are you with all this dudeess ... anyway forget about it !!

I went through all of them and honestly I totally feel very academic!!
 
Mwenye macho na Aone......Ngoja nikamwite WIFI yako mtarajiwe aje aone...!
 
mwaJ naona baada ya kazi burudani[/QU
FirstLady hapo wala sio baada ya kazi, hao wameacha kufanya kazi wakaanza hayo mazoezi mjinga yao! Tizama vizuri utaona huyo jamaa mwingine kaona wanamsumbua kaamua kubeba file lake akatafute sehemu yenye utulivu aendelee na kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmm..........katika post yangu No 107, nimeweka picha mbili ili kuzidi kuhabarisha kuhusu kwaito..... nashangaa katika post No 113 na No 114 picha hizo hizo Mwana JF mwenzangu Allien kazipost bila kuwa na wigo wa quote....... kama alivyofanya Mwana JF obsesd katika post No 118............angalau basi toa shukrani au bonyeza kibox cha thanks au like........nakusamehe bure ....... JF hapa ni burudani na kuelimishana ......JF bwana....wee acha tuu.....!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom