Kwaherini...

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,998
Jamani mi ndo natoka kwenye hii kompyuta ambayo kampuni imenipa ili nifanyie kazi, lakini mimi sometimes naitumia kuingilia Jf na kuanza kuwaponda mafisadi wezi wa fedha za wananchi. Asanteni kwa sababu mlinishauri vyema asubuhi kuhusu nauli japo msaada wenu ni wa kimawazo zaidi na si kivitendo....BYE!
 
Huyu anaeomba ushauri kuhusu nauli? Usidhani petty cash yake ni 10M kama ya kwako bepari. Muache aka-RIP.

Mke mwe, hivi leo ni friday?
Mambo SL? mbona unamfukuza jamani,si umbembeleze akae,labda anaweza kutugaia kidogo pettycash.
 
duh, hata kurudi home daily tunaambiana Bon Voyage?
Mi hata sijaelewa anaenda wapi. Sitaki tu aende.
Kuna mtu humu aliaga anaenda, na akaenda kweli.
Toka hapo mi nisha kua traumatized mwenzenu.
 
Hivi kule ban ulikua unakunywa nini? mbona kama umesahau?
Una siku ngapi hujamtia Ivuga machoni?
Ni mwezi mmoja sasa tangu Ivuga aondoke...na hakuondoka kwa bann....
Umemmiss sana eeeeh?
 
aisee kule ban kubaya sana
kunakula bone marrow ya ubongo.

Maskin Ivuga wetu hajarudi
ila ulimringia sana hata salaam binti weye!!!

Hivi kule ban ulikua unakunywa nini? mbona kama umesahau?
Una siku ngapi hujamtia Ivuga machoni?
 
Sio saaaaaaana, lakini JF imekua tu tofauti bila yeye.
Hahahaaaa Mwali huwezi kusema tu ila ukweli ni kwamba tumemmiss sana....
Hasa kule jukwaa la picha...dah
Salamu zake kokote aliko
 
aisee kule ban kubaya sana
kunakula bone marrow ya ubongo.
Maskin Ivuga wetu hajarudi
ila ulimringia sana hata salaam binti weye!!!
Hiyo bone marrow nayo ilileta shida. Kuna member alikuja na jina hilo,
Si unajua watu wasivo kawia kujipanga? akapigwa ban siku ile ile. lol
Ivuga ndie alichanganya mambo bwana, mwache akapumzike kwanza.
 
ha ha ha
wakati mwingine, huwa hawajui wanataka nini
hadi wakikose ndo hutambua walikihitaji
ni kawaida yao

Hiyo bone marrow nayo ilileta shida. Kuna member alikuja na jina hilo,
Si unajua watu wasivo kawia kujipanga? akapigwa ban siku ile ile. lol
Ivuga ndie alichanganya mambo bwana, mwache akapumzike kwanza.
 
Back
Top Bottom