kwaherini wana dar es salaam,narudi songea kwetu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,287
tutakuwa pamoja sana hap jf.naenda zangu songea kwa muda wa miezi mitatu,nioombeeeni nisafiri salamaaa
 
All the best wape hi! wangoni wote, watengo na wapangwa wote, wape hongera kwa kuamka na kuvua shuka la magamba kata ya Lizaboni Udiwani waje wawafundishe wenzao wa temeke bado wamelala hawajui kuwa sasa kumekucha ChiChiEm basi mwe
 
utakuwa pande za wapi mkuu? matarawe, mahenge, majimaji msufini, matogoro au?
 
Dr Remmy alipata kuimba kwamba "Narudi Songea"...lakini akaishia pale Sinza kwa Remmy!...Kama uko serious hongera!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom