Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!

Duh .. Eid Mubarak! Heri yenu mlio TZ & kote ambako Eid ni bank holiday
 
Duh .. Eid Mubarak! Heri yenu mlio TZ & kote ambako Eid ni bank holiday

karibu nyumbani mkulu. Tukule ugali wa dona na dagaa na mlenda/kisamvu kwa wingi!

Idi Mubaraka mkulu!
 
Mi kesho banda langu la kitimoto nalifungua. Nshatoa oda waniletee nyama.
Dont tell me kwamba mwezi hautaonekana:confused2:
 
Mi kesho banda langu la kitimoto nalifungua. Nshatoa oda waniletee nyama.
Dont tell me kwamba mwezi hautaonekana:confused2:

Kwa mujibu wa macho yangu ambayo yanaaminika katika jumuiya nzima ya afrika mashariki na kati, na kwa msaada wa watu wa marekani....Leo saa mbili na dakika 27 mwezi utaonekana! Nawatakieni Idi Mubaraka!
 
Leo ni ramadhani ya 28 tuvute subira mwezi utaonekana kesho Idd iwe Ijumaa
 
Kwa mujibu wa macho yangu ambayo yanaaminika katika jumuiya nzima ya afrika mashariki na kati, na kwa msaada wa watu wa marekani....Leo saa mbili na dakika 27 mwezi utaonekana! Nawatakieni Idi Mubaraka!

kaka mwezi wa uarabuni tunajua siku yake, isije kuwa huo wa kwako ni mwezi wa kichina?wachina noma kweli wanafanya makaratee hadi kwenye mambo ya IMANI?
 
wee asprin una vituko wewe!
kichwa cha habari kinashitua mtu anadhani unataka kutokomea wapi sijui kumbe ni salam za idd tu!
okay,EID MUBARAK TO YOU AND TO EVERY N EACH JF MEMBER!
 
i hope by now ushauona. kwa kweli hata mimi sherehe za idd zinaanza kesho asb. Idd Mubarak wote
 
Unaenda mwezini:))) Haya Eid njema kidonge cha aspirini...Mie pia nina long weekend na pumpkin wangu pembeni!!!
 
Unaenda mwezini:))) Haya Eid njema kidonge cha aspirini...Mie pia nina long weekend na pumpkin wangu pembeni!!!

Lahaula walauqwata! ...ona sasa nimepaliwa na uji! :coffee:
Hapa kwetu Kimanzi Chana-Mkamba "sentensi" hiyo haitamkwi ukweni bana,...
 
Back
Top Bottom