Kwaheri vodacom

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,783
Ile kampuni giant na kongwe ya simu nchini, imeuzwa na vodafone wanatake over, huku upande wa operations L-link watakuwa wakisimamia

wafanyakazi wameshaanza kupewa barua, ila haijulikani kama watalipwa fedha za mwaka mzima kama sheria ya nchi inavyosema.

Hali imekuwa tete! sijui wateja itakuwaje maana kampuni ya L-link hailipi vizuri.


Je ni mafisadi wameona kuwa Slaa ni RAIS? au wameshatengeneza faida?

mwenye details anaweza kuongezea but so far this is the case.
 
Ile kampuni giant na kongwe ya simu nchini, imeuzwa na vodafone wanatake over, huku upande wa operations L-link watakuwa wakisimamia

wafanyakazi wameshaanza kupewa barua, ila haijulikani kama watalipwa fedha za mwaka mzima kama sheria ya nchi inavyosema.

Hali imekuwa tete! sijui wateja itakuwaje maana kampuni ya L-link hailipi vizuri.


Je ni mafisadi wameona kuwa Slaa ni RAIS? au wameshatengeneza faida?

mwenye details anaweza kuongezea but so far this is the case.
Wamepewa barua za kuachishwa kazi au!!!! Sijaelewa hapo.
 
Source please!
Source ni yeye mwenyewe....Hivi chanzo cha habari hakiwezi kuwa mtoa habari mwenyewe? BTW majority tumeregister with an annonymous ID sasa unajuaje kama yeye si mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom.....
 
UKITAKA KUJUA UMUIMU WA ****** BASI KALIA KICHWA...
WAMETOKA TOWN HADI OFISI ZAO KUAMIA PEMBEZONI MWA MJI???


TIGO EXPRESS YOUR SELF
:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
Source please!
SOUTH AFRICA: VODAFONE PAYS R16BN TO ACQUIRE VENFIN STAKE IN VODACOM

In the second-largest foreign direct investment in post-apartheid SA, British-based cellular group Vodafone has made an offer to buy Venfin's 15% stake in Vodacom for R15,6bn to boost its holding in the company to 50%.

The offer comes just months after another British group, Barclays Bank, bought a majority stake in SA's biggest retail bank, Absa, for nearly R28bn. But it is the lengths Vodafone is prepared to go to acquire the 15% that fascinated most analysts.

Yesterday it announced it intended to acquire the entire issued shareholding in Venfin -- owners of a 25% stake in Alexander Forbes, 33% in e.tv and convertible bonds in Dimension Data -- among others. Vodafone said it was in negotiations with Venfin controlling shareholder, Rembrandt Trust Limited, about the acquisition of 35,5-million "B" ordinary shares at R47,25 a share.

Thereafter, the UK cellular operator intends making an offer to remaining shareholders to acquire their ordinary shares at the same amount. The offer represents a 41% premium to the 30-day average trading price. Fifty-five percent of Venfin shareholders have agreed to the offer.

If the offer is accepted, the British cellular operator intends shedding all Venfin's interests, including the stakes in Alexander Forbes, e.tv and Dimension Data to a new company, Newco, for R5bn, although the assets are worth about R7,1bn, according to analysts at Imara SP Reid.

The analysts said Vodacom was the prize asset for Venfin, which will end up with a portfolio dominated by cash. Vodafone owns a 35% stake in Vodacom. Telkom owns the remaining 50%.With the purchase, Vodacom could be poised for massive growth in the coming months thanks to a deal to end a restrictive shareholding structure that thwarted its growth ambitions.

Once Vodafone owns 50% of Vodacom, the British operator will have a vested interest in giving Vodacom a free rein to expand its operations and earn fresh revenue to boost shareholder value.

Vodacom CEO Alan Knott-Craig has long complained about the stifling shareholding and a related agreement that bans Vodacom from entering any country north of the equator. That agreement was demanded by Vodafone, so it could tackle Europe, the Middle East and Africa without competing against its partly owned offshoot.

However, no country below the equator offers any significant growth opportunity, and Vodacom has watched in frustration as its rival MTN romped ahead by entering far more lucrative countries. News of the potential deal sent Venfin's shares soaring as much as 28% yesterday.

Knott-Craig has often said the Middle East holds far more potential than African countries, where consumers are poor and geographically dispersed. Vodacom managed to win permission from Vodafone to try to enter Nigeria, but was ordered to back out of a consortium it was putting together to bid for a licence in Iran.

If the deal goes ahead, Vodacom will probably make a play in Egypt, where the government is expected to offer a third cellular licence Metropolitan Asset Management portfolio manager Alida Jordaan said an increased stake in Vodacom was in line with Vodafone's desire to increase its exposure to Africa's growth markets, as the European market was saturated. The increased stake in Vodacom will give the UK operator a higher exposure to the Democratic Republic of Congo, Tanzania, Lesotho and Mozambique.


Source: Vodafone acquired SA Vodacom
 
Jamani, kama kuna mwenye ziada ya taarifa hii atuletee. Nilikuwa kwenye harakati ya kumalizia vivocha vyangu kwenye kadi yangu ya Voda ili niitupe sasa kama kampuni imenunuliwa na watu wengine basi niendelee na namba yangu nikiwa na amani kwamba simchangii Fisadi fulani hivi...!
 
Source ni yeye mwenyewe....Hivi chanzo cha habari hakiwezi kuwa mtoa habari mwenyewe? BTW majority tumeregister with an annonymous ID sasa unajuaje kama yeye si mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom.....

Mkuu, sioni sababu ya majibizano..............hivyo nakupotezea tu.
 
[Source ni yeye mwenyewe....Hivi chanzo cha habari hakiwezi kuwa mtoa habari mwenyewe? BTW majority tumeregister with an annonymous ID sasa unajuaje kama yeye si mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom..... ]

what you have said is truth.
 
wanataka utaje jina lako wakunukuu

kwa kweli ni bora iuzwe..kiujumla wamebadilisha hadi CEO wamemleta Fro UK na jamaa alivyokuja amekuta ACCOUNTS NI UPUPU HAKUNA WATU WAMEIBA FEDHA ZAIDI YA BILLIONS NA WAMEACHIWA ,MMOJA WA WATOA INFO AKANIAMBIA KUNA VIJANA WALIKUWA VODA WALIPIGA HELA CHAFU WAKAAMUA KURESIGN KWA PAMOJA IKAITWA AUDT LOH!!WAKATI HUO KUNA VIJANA WALIPIGA ZAIDI YA MA MILLIONA WALIVYOKIMBIZANA MAHAKAMANI MZUNGU AKAOMBA KESI ITOLEWE WAKAACHIWA HURU WAKAAMBIWA WANATAKA KURUDI AMA LA WAKAOMBA CHAO WAKAPEWA NA KUANZA...KUNA KIJANA MMOJA SOMBODY KAIJAGE NA GROUP LAKE WAMEITAFUNA VILIVYO..NA JAMAA ALIVYOINGIA MAJUZI AMEKUTA KUNA MIANYA YA FEDHA MINGI AKAANZA KUFUNGA MLANGO MMOJA MBADA YA MWINGINE...PARKING PALE ZA ATC..AKWAAMBIA TUNALIPIA PARKING ZA NINI??GARI ZA VODA ZITAKAA HUKU NYUMA ZA WAFANYAKAZI WATAPAKI HAPO NJE JION WALIPE SITAKI KUSIKIA UJINGA

AKAJA KWENYE MAGARI..JAMANI JAMA WALINUNUA MAGARI WAKAGAIANA KAMA NJUGU ...AKATANGAAZA DEPRTMENT ZINAZOTAKIWA KUBAKI NA MAGARI NA YAWE MACHACHE ....U CANA IMAGINE CUSTOMER SERVISE WALIPEWA MAGARI YA KAMPUNI YA NINI???UNA BASI ZILE KWA NINI USIPITIE WATU HATA KAMA ZAMU ZA USIKU HII NDIO MIANYA YA MATUMIZI MABOVU YA PESA UNAKUTA MAFUTA ,,YANATUMIKA OVYO..ALICHOFANYA AKAUZA KAMA ANA AKILI NZURI AKAOMBA FUNGUO ZAKE SHWARI...KWA KWELI NILIVYOMUONA JAMAA ANATAKA KUINYANYUA TENA VODA..VODA AINA PESA KAMA WENGI TUNAVYO FIKIRI JAMAA WAMEKULA PESA HATARI. MORE ZAN BILLION9.ALICHOFANYA AMEWEKA ZILE TOPS WAZUNGU TUPU...FOR NEW VODA CONSTRUCTION....NASIKIA HATA MISS TANZANIA WALILETA BUDGET ZAO JAMAA AKAKOMAA NAO WAKARUDISHA WAKALETA TENA WAKARUDISHA WAKALETA TENA ZAIDI YA MARA 4 AKASEMA WE R HERE FOR BUSSIIIIIII...AKAWAPA...NA HABARI ZAIDI ZINASEMA HATA YALE MAMBO YETU YA MZUNGUKO WA PILI WAKINA TENGA WANATAKIWA KUJIANDA KWELI KWA KUSALI NA KUOMBA..JAMAA SIO YULE WA ZAMANI UKIPELEKA ANASAINI HATA AKIWA ****** HUYU HATARI.

YALE MAMBO YA VODA SHOP AMEWASUKUMIA WATU MWENYE UWEZO WA KUENDESHA UNAWEKA MKATABA ANAKUACHIA KAMA UNAWEZA KUNUNUA ANAKUACHIA KABISA...ATAKI ZILE CHANNEL ZILIZOKUWA ZIKISUMBUA KUTOA PESA OVYO ....

.LET WE SEE HIM
 
PIPIIIIIIIII kwa kwenda mbele hahaha ndugu zangu wa voda ukiwaambia PIPI ni nini wanajuaaaaaaaa maana yake
 
watuachie nafasintumechoka tunachotaka ni uongozi wa slaa tu sio kampuni za simum kwa sasa
 
Aaaaa kumbeeee! Ndo maana sioni matangazo ya Vodacom barabarani!! Duh aise kumbe wengi wameiba eeeh? Lkn hao walioiba wataringa sana,watasema TUMEFANIKIWA SANA KIMAISHA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom