kwaheri JF

Hope umeshamwambia Invisible afute account yako

Kwaheri wasalimie uendako
 
me luv u ma bebi.

thanks my darling love you too ma bebi. Si unakumbuka jana usiku tulivyokuwa tunatoa rambirambi pale nairobi kwa wafiwa wa ajali ya mabasi iliyotokea kwe2? Rutta was slept. U ar so sweet darling.
 
Kisa kutongozwa!...ha,ha,ha,teh,teh,teh,uwiii....Popote uendapo nitakupenda milele charminglady ,mapenzi yangu kwako ni zaidi ya chochote.NAKUPENDA,NAKUPENDA,NAKUPENDA,NAKUPENDA,NAKUPENDA TU
 
Last edited by a moderator:
kama unamaanisha unachokisema,sina budi kukuita KINDA tena kinda la njiwa...kama ni mtoto basi hata ule uchafu wa shingoni haujakutoka...na arufu ya maziwa imekujaa...

kama ni utani basi huu ni utani mzuri...!
 
Wengine tunatamani kutoka sababu hatutajwi tajwi ati. Anayekutaja ujue hata kwenye fikra zake upo. Ilibidi ufurahie mpendwa.
 
Wengine tunatamani kutoka sababu hatutajwi tajwi ati. Anayekutaja ujue hata kwenye fikra zake upo. Ilibidi ufurahie mpendwa.

tena si kutajwa tu,bali kupendwa,tena si kupendwa tu,bal kutongozwa,tena si kutongozwa tu,bali kunifanya nipagawe
 
umeona eeeh! cjui nimtafte wema sepetu animegee maconfidence ya kuhimili misukosuko ya kutajwatajwa lolest!
oi Usitake nicheke...!!! Wema Sepe2 akufundishe!!!! Atakukabidhisha kwa Jumbe then Diamond ops Wema hivi Sikuhizi ni Bondia!! mimi naona Bora umtafute Mwingine!!!

Nakutakia Mafanikio Mema Huko Uendapo Sie Tupo tu Humu Ndani ya Nyumba... Hivi una ID Nyingine utumegee ukija salimia tukukumbuke...

Katika Safari Yako Utapenda tukusindikize na Wimbo Gani?
 
khaaaaaaa!!!!!! yamekuwa hayo!!!!!! but kila linalotokea ujue kuna sababu!! so jiulize why you!!!??
 
charminglady, najua hupo tena JF lakini malaika wako wapo na watakuja kukuletea salamu - AI-MI-SI-YUU!!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheeeeeeeeeeeka,why should someone take things personaly jf? Mi nshawahi kusema kwangu jf inanipa brain massage,nikiwa jamvini attention yangu ni thread za kunivunja mbavu,period. Kama ni kupasuka kichwa acha biashara zangu zinipasue kichwa nikiingia jf nicheke mpaka mbavu ziume.
By the way darling The secretary hangover inaniua niandalie supu pliz.

Mbona sikukuu hii kimya. kwani lile deni la bank bado tu.baby where are u
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom