kwaheri JF

Vipi best ushapata dawa ya maleria? Vipi kuhusu maombi yetu umeridhia kukaa hapa jamvini? La mwisho kama vipi niko available maana mamndenyi inaelekea hana mpango na mimi. Nikusitiri? Halafu acha unyonge bana.
 
Dawa ya tatizo si kulikimbia dada ni kukabiliana nayo ule usemi unaosema ukiona nyani mzee ujue kakwepa mikuki mingi ujue ndio alipambana na mazingira kama hayo. au waliposema kuwa uyaone ndio haya sasa pambana nayo upate uzoefu wa kuja kuwasimulia wajukuu. ukifanikiwa kupambana na hili huko mbele inaweza kukurahisishia kupambana na mengine, na kazini ukikutana na sisi tunaokutolea mijicho kila siku na msg kibao utaacha kazi?? safari bado ndefu dada kaza buti.
 
mpnz, nimevumilia nimechoka kha! unajua nahc tatizo sina mume humu ndo maana wananisakama. sijui nitafte mume niolewe may be usumbufu utakoma! au unanishaurije dadangu wa moyoni?
share mume na gfsonwin hana roho mbaya, Kaizer awe mume wenu! kama mie nilivyo mke wa tatu hainipi shida, lol, ila usiondoke!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
yan bora kuwa hoi, hadi nimepungua kilo 3 tangu waanze kunisakama. hv akina wema,wolper na uwoya wana-handle vp hizi kadhia? Remmy. . .

Ndo ustaa huo bishosti.....! Star wa chitchat.... Kina Wema huoni wanavofurahiaaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
Vipi best ushapata dawa ya maleria? Vipi kuhusu maombi yetu umeridhia kukaa hapa jamvini? La mwisho kama vipi niko available maana mamndenyi inaelekea hana mpango na mimi. Nikusitiri? Halafu acha unyonge bana.

naendelea na dose ya aloevera/shubiri kama wadau walivonshauri. maombi yenu bdo nayafanyia kazi. . . kuhusu kuwa na wewe ndo sitaki kusikia hayo mambo na ndo kati ya mambo ambayo yananiondoa jf. nahitaji kuwa single jamani. . .
 
bby jana tu ulikosekana hapa, lakini naona kama mwezi umepita! mwahhhh karibu tena mkekani!
Sante mwaya, na hiyo Avatar imekuwaje tena? Kuna mtu alitaka kukunyonya macho nimsokomezee komavu gunzi makalioni?
 
Last edited by a moderator:
Sante mwaya, na hiyo Avatar imekuwaje tena? Kuna mtu alitaka kukunyonya macho nimsokomezee komavu gunzi makalioni?
nakwambia vimacho vilikuwa vinamkosesha mtu usingizi, nikaona isiwe tabu! nikaamua kuweka hiyo picha yangu wakati nipo first year ud, vimacho vyako peke yako hubby, lol!
 
share mume na gfsonwin hana roho mbaya, Kaizer awe mume wenu! kama mie nilivyo mke wa tatu hainipi shida, lol, ila usiondoke!

yan me nataka niwe single lakin wadau hawaikubali hyo hali. . sijui nifanyeje ili wanielewe. ku-share mume kaz shost me nina wivu sana. c wanielewe tu nipate amani?
 
Last edited by a moderator:
nakwambia vimacho vilikuwa vinamkosesha mtu usingizi, nikaona isiwe tabu! nikaamua kuweka hiyo picha yangu wakati nipo first year ud, vimacho vyako peke yako hubby, lol!
Nani huyo malabuku zake? Anafunika shimo la Panya kwa mkate? Hahahahaha!! Usisome signecha yangu, nimeidediketia mtu flani hivi LOL
 
:biggrin1: mi namlaumu panadol a.k.a asprin ye ndo kila kukicha charmin lady charmin lady unaona sasa totoz anaondoka??!!
 
:biggrin1: mi namlaumu panadol a.k.a asprin ye ndo kila kukicha charmin lady charmin lady unaona sasa totoz anaondoka??!!
Hahahahaha! Kijana wa mjini ntake razi. Bi ni babu wa charminglady, najua hata akiondoka atakuwa ananimisi sana. Si unajua tena...

:hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom