kwaheri JF

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan wakipost topic ama kukoment hawachoki kunitaja taja. jaman siwataki hv mkoje! bakini na jf yenu mfurahie bila kuniona ili roho zenu zifurahi. . . . kwaheri ya kutoonana!
 
,mmmh, Hivi charminglady wewe ni mtu wa kuondoka JF sababu ya watu?
Ni member gani huyo anakuchokoza? Tema hapa uncle Kaizer amchape!
Kwanini usiwatoe katika list of friends, hata wakikutag haupati notification?
Just ignore them bwana, sisi bado tunakuhitaji, please stay, stay, stay!!!

 
Last edited by a moderator:
Aiseeee mama yangu usiondike achana na hao wajinga wajinaga na madhaifu kama jeeeekeiiii we tuendelee kupeana chakula cha ubongo mama yangu
 
nimegundua tatizo, yule kalimanzila aliisafisha nyota yangu mpk ikang'aa km taa ngoja nije nimrudie nimwambie nnavopata shda, yan natongozwa hata na vichaa fresh toka milembe na C1 bugando mwe!!!!!
 
yan Mwali nakereka square. tatizo co tag,me natumia cm so hzo tags wala sion ila ukifungua post unakuta washantaja hv wakoje me siwapendiiii jaman!
 
Last edited by a moderator:
yan Mwali nakereka square. tatizo co tag,me natumia cm so hzo tags wala sion ila ukifungua post unakuta washantaja hv wakoje me siwapendiiii jaman!
Sasa kipi kinakukera? Huwezi kum-control mtu kwa kile anacho kifanya
Ni sawa na kusema hupendi jua linavo toka hivo unaamua kukaa ndani
Ili iweje sasa? utawakimbia JF, utakuta na wengine facebook au twitter
na hao utawakimbia pia? Just ignore them. wakikutaja hayakuhusu...
Watu humu ndani wako wazi kutaja na kutajwa, wewe si umejitaja?
 
Mwali bahati nzuri sina akaunt ya facebook wala twitter. huwa nipo jf tu. . . km nilivoamua kujitoa fb mwaka jana may na sasa naamua kujitoa jf kwa hiyari km nilivojiunga kwa hiyari!
 
Last edited by a moderator:
Haya dada, hatuna budi ila kuheshimu uamuzi wako
Huko unakoenda msalimie mwalimu wangu FaizaFoxy
Msalimie cousin wangu Husninyo, mwambie I love her
Msalimie EMT, muulize habari ya siku nyingi? mzima?
Msalimie Mod Brialex, na wengine wote walio jitoa JF
 
aku nshachoka kutajwa tajwa mie, nakosa amani kisa. . . baki na jf yenu !!!!!




Natamani ningekutana na wewe maana unavyotetea uhuru wako,kumbuka tu kuwa hapa unaongea na kompyuta sasa huku mitaani ukikumbana na vikwazo kama hivi sijui inakuwaje,kwa mtazamo wangu naona hii ungeichukulia kama changamoto ya kukabiliana na maisha endapo utakutana na hali hii live.Tatizo halikimbiwi hata siku moja bali ni kulikabili na bado ninarudia usiondoke tumekuzoea mwaaaaah
 
Back
Top Bottom