Kwaheri DSM

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Nawashukuru sana wanajf wa DSM nimekaa salama kwa kipindi chote nilichokuepo huku. Sijatoka na totos yeyote lakini nimekuwa impressed na totos wengi sana wapo big in posteriors ambazo kwa kweli huwa navutika nazo sana. Sijui ndo mchina au diet tu mimi sijui. Coz huku mikoani hizi character hazipo sana zionekanzo chache sana na hizi kwa kweli ni natural.
Mbarikiwe Sana. Karibuni mikoani
 
"Walikuja na nywele vichwani wakarudi makwao vipara".

Unatokea mkoa gani ili tuthibitishe ukweli wako?
 
Mkoani tupo pia, sema kuvaa khanga na masweta kunatuponza. Karibu nyumbani tunakungoja baba. Safari njema, muulize dereva kama ana mafuta ya kutosha manake treni siku hizi huwa inakata wese
 
welcome again mukubwa mjini..wenio tukiondokaga huwa atuagi ila ni utaratibu wa kibantu tuu kutokuaga
 
Nashukuru sana wandugu naelekea kigoma, na dereva na manager wao ametuhakikishia kuwa mafuta yapo ya kutosha. Nimesema hata huku mikoani wapo ila wachache lakini Dsm kila kona unayopita uanakutana nao wa ukweli afu unajiuliza hivi wote hawa wamezaliwa hivi au make up. Lakini mikoani na ugumu wa maisha pia nahisi unachangia, siunajua mwanaume fat deposited kwenye tumbo wakati mwanamke ni kwenye makalio, sasa ukikosa milo bora ndo hivyo posterior inagoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom