Kwaa wakuuu...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
ndugu zanguni ma greater thinkers,napenda kuwapongeza kwa kazi yenu nzuri hapaa jamvini.samani kama nitakuwa nime mkwanza mtu au nime weka post sehemu sio ila naamini hapa ni sehemu ya marafiki pia.ndugu zetu,wadogo zetu,dada zetu,mama zetu,baba zetu,watoto wetu,babu na bibi zetu na majirani zetu wa kisomalii,wako katika halii mbayaa sanaaa...bandugu.wanaitaji mchango wetu,naomba kama inawezekana tufanye kitu kuwasaidia hawa ndugu zetu,tufungue account au tutafute makundi yanayo peleka msaada somalia na tutoe kidogo tulicho kuwa nacho,hainaa maana ya pesa tu,tunaweza kutoaa nguo,chakulaa,na hata mchango wako wa shilingi 500 utakuwa umechangia kidogo kuwasaidia watoto wanao kufaa kwa njaa na kiu,wanakulaa mchanga.ili haliii kwako au jirani yako mnakulaa na kusaza na kumwaga chakulaa.ni mawazo tu.
 
kunaaa vikundi na wahujajiii wanafanya hiiyo kazi,kama mwezi ulio pita kuna msafara ulipita kutoka south africa unapeleka msaada somali,jumaa pili kuna ujumbe kutoka dar es salaam,unaingia arusha na kuunga somali.[tusichukulie ki dini sana...ila kumsaidia mwenye shida sio kuangalia dini yake]
 
Bongo yenyewe si nasikia karibu na sisi tutakumbwa na janga la njaa...ama?!
 
hukuckia igunga mkurugenzi alivyotangaza kwamba wanahitaji msaada?

Sasa sisi tuna matatizo yetu tuwasaidie wao kwanini?!

Msaada uanze nyumbani tukishahakikisha kila mmoja wetu ana chakula/malazi na mavazi ndo tuchange kuwasaidia wa nje!!
 
monduli nadhani hali imeshakuwa mbaya tayari. nakubaliana na lizzy, maybe tuangalie nyumbani kwanza..
 
kwa sasa tuna matatizo makubwa sana hapa nchini kwetu tuyakabili kwanza ndio tuangalie na pembeni,
hivi somalia ndio yale maharamia yanateka meli yanatoka eee
inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom