Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu hili naomba msaada jamani.

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,273
2,648
Jaman hivi kuna taratibu gani za kufuata ili kupata scolarship kwenda kusoma nje (university) na niwakati gani taratibu hizo zinapaswa kushughulikiwa? Naombeni sana msaada wenu jaman coz nahtaji scolarship. Natanguliza shukrani.
 
Hongera kwa kufanya jitihada za kuongeza elimu. Nakushauri utembelee tovuti mbalimbali utapata maelezo ya kina.
 
Jaman hivi kuna taratibu gani za kufuata ili kupata scolarship kwenda kusoma nje (university) na niwakati gani taratibu hizo zinapaswa kushughulikiwa? Naombeni sana msaada wenu jaman coz nahtaji scolarship. Natanguliza shukrani.

Try to read this
http://www.fundsforngos.org/scholarships-2/kofi-annan-fellowship-potential-leaders-developing-countries#ixzz1JDQ0oCCj
 
Back
Top Bottom