Kwa yeyote anayehusika

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kuzisoma ndani ya misatari na kuona kinachoendelea tanzania katika sakata la umeme na madini kwa undani wake. Na zaidi  sana hizi ni aina ya hotuba ambazo zinastahili kusomwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya reference kwa matamko mbalimbali yanayotolewa na serikali juu ya sakata la kupata suluhu ya umeme na hatma ya  madini yetu. Naomba kuwasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom