Kwa wote waliosoma accounting na project management nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1

Status
Not open for further replies.

AUSI

Member
May 4, 2011
19
3
NEW ESTABLISHED NGO IN TANZANIA

ASSISTANT ACCOUNTANT- HEAD OFFICE:DAR
- ADV -DIPL IN ACC/BCOM ACC
- TALLY ACCOUNTING PACKAGE. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
-EXPERIENCE ITS NOT MUST
-SALARY 350000/=. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

PROGRAMME OFFICER- MOROGORO MJINI,JIRANI NA HOSPTALI YA MKOA WA MOROGORO
- BA PPM& CD/ OTHER RELATED
-SPSS. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
-SALARY 350000. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

TUMA CV YAKO IKIWA IMEAMBATANISHWA NA VYETI HUSIKA KWENDA wengiwepe@yahoo.com

NOTE: MWISHO WA KUTUMA -----27/01/2012

KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU
 
Kwa vyovyote hadi mnaajiri maana yake mmepata usajili na ofisi mnayo, kwanini usitoe jina na anuani kamili ya NGO yenyewe.
Kuna mtindo umezuka wa watu kutangaza nafasi za kazi fake kwa kutumia email ili kupata sample za CV au kutumia nakala za vyeti vya wenzao kufanya ujanja ujanja,
Tuwe makini
 
Mkuu tunajaribu kusaidiana. waswahil wanasema ukiona elimu ni gharama jaribu uj....a
 
Hata kusaidiana hakupo hvy kwa kupewa vitu nusu nusu!!? We sema hy NGO inaitwaje mi nipeleke kwa mikono nipunguze cost ya ku scan vyeti n niongee nao nipate info zaidi!?
 
We endelea kujifanya mjanja, subiria info hapo hapo! wa tz bana?
 
[TUMA CV YAKO IKIWA IMEAMBATANISHWA NA VYETI HUSIKA KWENDA wengiwepe@yahoo.com
]

mmh hapa napata wasiwasi. email ya NGO kweli ni wengiwepe@yahoo.com????? graduates be carefull na matangazo ambayo hayana details za kutosha sio unakurupuka tu unatuma vyeti vyako hovyohovyo.
 
thanx for info. illa huo mshahara dah amakweli au ni volunteerng job hio ya kujikimu tuu
 
NEW ESTABLISHED NGO IN TANZANIA

ASSISTANT ACCOUNTANT- HEAD OFFICE:DAR
- ADV -DIPL IN ACC/BCOM ACC
- TALLY ACCOUNTING PACKAGE. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
-EXPERIENCE ITS NOT MUST
-SALARY 350000/=. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

PROGRAMME OFFICER- MOROGORO MJINI,JIRANI NA HOSPTALI YA MKOA WA MOROGORO
- BA PPM& CD/ OTHER RELATED
-SPSS. IT MUST BE OBTAINED FROM RECOGNIZED INSTITUTION
-SALARY 350000. IF YOU THINK YOU NEED MORE THAN THAT, DONT SEND YOUR CV

TUMA CV YAKO IKIWA IMEAMBATANISHWA NA VYETI HUSIKA KWENDA wengiwepe@yahoo.com

NOTE: MWISHO WA KUTUMA -----27/01/2012

KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU

Acha kudharirisha kozi yangu PPM&CD, kama ni kweli kwanini msiitangaze kwenye magazeti, mpaka mlete humu, kwani hiyo NGO ni ya CHADEMA?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom