Kwa wenzetu hata kiatu hutumika kama CAMERA...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Kiatu camera.jpg

Jamaa hapa kawapiga bao wapiga picha wenzake! Yeye anatumia shoe-camera! :peep:
 
hahah!!jamaaa ametisha!!!!
Basi hapo huyo dem anaweza sema "kaka niazime kamera yako nami nijaribie" ...anaona kama mwenzie ndo anafaidi!!!
 
nenda Bumbuli ukaone wapo wengi hao wenye kamera kama hizo ,uliza Shematagi
 
Back
Top Bottom