Kwa wenyeji wangu wa voda modem.

Wako mabingwa huhmuhumu watakuchakachulia moderm yako ikiwa utawapatia imei yako na uhamie zain (airtel) wao 2,500 ni MB 400 tu achana na wengine
 
Toa hiyo laini ya voda kwenye moderm na uiingize kwenye handset yako, nenda kwa msg na hakikisha sim inapesa ya kutosha coz kwa week ilikuwa ni 10000 na kwa mwezi ilikuwa 30000 japo nasikia sasa kwa week ni 15000. So nenda kwa msg kisha andika neno BOMBA7 afu tuma kwa 123 utatumiwa msg kuwa ombi lao linashughulikiwa na baadaye watakuambia uko kwa bandle ya 7days...Toa lain kwa handset kisha irudishe kwa moderm na anza kutumia, hapo uta-download chochote utakacho for seven days unlimited. Kama unataka kwa mwezi ni vile vile ila andika BOMBA30 afu tumama 123...Hope kwa sehemu nitakuwa nimesaidia...

Hapo kwenye red.
Voda wamenzisha package mpya wanaiita SPIDI 7 ambapo unalipia tsh 15000,unapata 1GB only ambazo utaweza kutumia kwa wiki moja kwa UNLIMITED speed. Kumbuka BOMBA7 au BOMBA30 (tsh 30,000 kwa mwezi) wameku- limit speed only 64kb/s, na hii huduma ya bomba7/ bomba30 bado inaendelea kutolewa.

Waweza kuperuzi hapa
 
Back
Top Bottom