joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
hi,naomba ushauri kwa wale wanaoishi au waliowahi kuishi mkoa wa rukwa wanipe information kwa kifupi kuhusu huko mana naitaji kuhamia kibiashara zaidi hasa zile za kuzunguka minadani,naomba anayefahamu anipe ratiba za minada pia na bidhaa zinazo hitajika sana,sio utani msaada kwa hilo watu wa sumbawanga