kwa wenyeji wa mwanza, msaada please!

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
msaada wenu wandugu, ni wapi naweza pata lodge iliyo kando kando ya ziwa (beach lodging) at an affordable price?
 
msaada wenu wandugu, ni wapi naweza pata lodge iliyo kando kando ya ziwa (beach lodging) at an affordable price?
Mkuu nenda Malaika beach resort. Suala la kuwa affordable ni vigumu kufahamu kina cha mfuko wako.
 
Kando Kando ya ziwa mita ngapi....Tunza beach iko kando ya ziwa..Ryans bay ni kando ya ziwa..ila zote sio lodge ni hotel...uwezo wa mfuko wako make sure not less than 50k mkuu...Karibu Mwanza.
 
Kando Kando ya ziwa mita ngapi....Tunza beach iko kando ya ziwa..Ryans bay ni kando ya ziwa..ila zote sio lodge ni hotel...uwezo wa mfuko wako make sure not less than 50k mkuu...Karibu Mwanza.

gharama zake zipo ipi hizo?
 
Kama unataka kufurahia mapumziko yako, Malaika is the best. Bei ni kama walivyokuambia wadau hapo..$80-$150 karibu Mwanza!.
 
karibu mza mkuu,bt hotel za mza kando ya ziwa ndo kma hzo walizokwambia wadau! kazi ni kwako "VODACOM"
 
Kwa ukanda wa nyegezi zipo lodges kama tatu hivi na ni affordable
 
Maeneo ya Buhongwa na Nyegezi pana Lake View karibu sana... Pia kuna Baa yaitwa KUMALIJA ipo karibu na Stand ya NYEGEZI.
 
Njooo mwaloni huku kama unfauu kwako u mean isisidi 10,000 Tsh.Zaidi ya beach utafurhiasa harufu safi ya samaki Hata Bwiru na Pasiasi karibu na breweries zipo zipo . teh teh teh

Kama unataka kufurahia mapumziko yako, Malaika is the best. Bei ni kama walivyokuambia wadau hapo..$80-$150 karibu Mwanza!.

yego masika si umwambie za mwaloni karibu na miradi yako ya boti za uvuvi wa samaki .Kwani zina tatizo gani Au anataka kuogelea hahahahah. Kama wasiwasi ni ku- malimwa hata tunza unaweza ku-malimwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom