Kwa wenye uzoefu wa uendeshaji wa Ngo naomba msaada

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau,,,tupo kwenye mchakato wa mwisho mwisho wa kuanzisha N.G.O,ambapo kwa sasa tunasubiria green light toka ofisi ya msajiri wa vyama vya hiyari(toka wizara ya mambo ya NDANI),namaanisha kupewa cheti cha USAJILI WA N.G.O
Lakini tunakabiliwa na changamoto moja,hasa ya funding resources na pia uandikaj wa attractive grants,tunaomba kwa wadau mlipo hapa wale wenye skills na information kuhusu grants,tunachohitaji ni information za funding resources(grants providers),na pia kama inawezekana tunaomba ututumie hata soft copy ya grant proposal,maana kila chenye mwanzo kina UGUMU WAKE.
Asasi yetu itajikita katika utoaji wa elim kwa wanafunz wa primary na secondary juu ya athari za matumiz ya MADAWA YA KULEVYA,pamoja na masuala mengineyo,hii itakuwa maeneo ya rural na urban.
Kwa mwenye lolote naomba atutupie kupitia
Barua pepe:bajabiri@gmail.com
 
fundraising management ni taaluma, na ni pesa kwa maana nyingine, ni vigumu mtu kuku pesa hivihivi , kufanya hivyo yeye katosheka kivipi?ni ukweli wale wote wenye nia njema ,watakupa kwa makubaliano maalumu kama uko tayari waliana nami kwa barua pepe:telshells@gmail.com
 
kaka ntakucheck mkuu shaka ondoa tatizo humu kukutana na mtu unakuwa umesha ji reveal ID yako........damn anyway nita create email fake halafu ntakupa msaada lots of funds are go unutilized bana
 
Mkuu kwa kweli hii ishu ya NGOs kwa sasa ni pasua kichwa sana, na hii ni kutokana na usanii mwingi sana unao fanywa na wabongo, Mtu anaanzisha NGOs ya WATOTO YATIMA, theni anaishia kula misaada yote au anakuwa na miradi hewa .

Na wafadhili wengi hasa wazungu wameshitukia NGOs zinazo ongozwa na Wabongo na hawaziamini kamwe na kuna News za kutosha kwenye mitandao zinazo husu USANII WA NGOs za WABONGO na hi News zimetapakaa dunia nzima

Kwa sasa NGO za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania na zinazo ongonzwa na wazungu ndizo zenye pesa na ndo zinazo aminiwa, NGO kama

Care Internatina, Plan Internatinal, Word Vision, Oxfarm, Farm Africa, Africare, CRS, na zinginezo, Mkuu hizi NGOs zinapesa za kufa mtu na zinapata wazadhiri wengi sana na sababu kuu ni kwamba zinaongozwa na Wazungu na Makao makuu yao kidunia yako huko kwao, Kwa NGOs za Kibongo hali ya kifedha ni ngumu sana na nyingi hazina pesa,

Na mkuu kwa mwanzo kupata pesa itakuwa vigumu sana na kama unaconectin na wazungu mojakwamoja hapo kidogo utapata pesa,
 
kaka ntakucheck mkuu shaka ondoa tatizo humu kukutana na mtu unakuwa umesha ji reveal ID yako........damn anyway nita create email fake halafu ntakupa msaada lots of funds are go unutilized bana

MKUU SAMAHANI NAWEZA KUPATA MSAADA KUHUSU NAMNA YA KUPATA FUNDS KWA AJILI YA NGO
 
Back
Top Bottom