Kwa Wenye Simu za Samsung (J2ME devices)

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
wakuu kwa wale wenye simu za samsung za kawaida, sometimes unaweza ukawa unataka kudownload application yenye ukubwa zaidi unaambiwa 'can't install, jar maximum reached'. sasa kuondoa hii kero fanya hivi
piga *#52828378# itakuletea menu fulani. nenda kwenye OTA test halaf kwenye size set unayoipenda eg. 2000KB then save. You are good 2go, go back and install ur app and enjoy!
 
aise mdau....nimekusoma...yangu inafail ku download application...ina download ikisave ina same jar error?? can u help
 
Ahsante Mkuu! yaani imekubali kirahiiisi! Be Blessed na endelea kutuletea vitu vikali!!
 
aise mdau....nimekusoma...yangu inafail ku download application...ina download ikisave ina same jar error?? can u help

mkuu hii hua inatokea sometimes kwa apps ambazo hazipo compatible i mean app zinazohitaj system requirements kubwa. mfano,hata mimi nikijaribu kuinstall nimbuz kwenye samsung ch@t yangu,inasema jar error. ila the best nafkiri nikudownload app ambayo iko kompatibo na simu yako. good source ni www.wap.getjar.com na www.mobango.com sababu kwanza zinadetect model ya simu yako na kama isipodetect bas inakupa option yakuchagua os ya simu yako eg. android/blackberry/symbian etc. hope nimejitahd kukusaidia kwa kia sflan mkuu
 
Je mm mimi mwenye nokia 3120c mtanisaidiaje kila niki_download game lenye Ukubwa kuanzia 1.3mb linagoma naandikiwa "file is too large to be stored"
any help plz
 
basi ni rahisi,download softwea unayotaka kwenye computer. then ukishadownload iyo app change extension weka kama .jpeg,mfano ilikua ni opera mini.sis,change kwenda opera mini.jpeg,hapa itakua imeashum kama ni file la picture. then copy hilo file kwenda kwenye phone memory yako,itaingia bila shaka then ikishaaingia unaenda kule uliposave unachange tena kwenda kwenye original extension(according to mfano wangu ni .sis) then after that unaopen nakuinstall bila shid amkuu
 
Mkuu Mimi nina Samsung D 780 Tafadhali haya maujanja uliyotoa yanaweza kubali,natanguliza shukrani tele.
 
wakuu kwa wale wenye simu za samsung za kawaida, sometimes unaweza ukawa unataka kudownload application yenye ukubwa zaidi unaambiwa 'can't install, jar maximum reached'. sasa kuondoa hii kero fanya hivi
piga *#52828378# itakuletea menu fulani. nenda kwenye OTA test halaf kwenye size set unayoipenda eg. 2000KB then save. You are good 2go, go back and install ur app and enjoy!

hii ni yakuweka kabisa kwenye library kaka, shukrani mingi
 
ngoja na mimi nisafirie nyota hapa, na je, kwa samsung chat, unaweza je kutumia opera inayo matcha na keys zake? manake zipo kama za black bery, ???????na opoera naona imemezeshwa keys za kawaida tu jamen msaada ili tuende sawa
 
Back
Top Bottom