Kwa wenye akili timamu tu!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana Cuf nikiwapo mimi 2likuwa waaminifu sana kwa chama na viongozi wetu toka mwanzo wa mfumo wa vyama vingi tz!walionesha kuwa wazalendo sn,2kawaunga mkono kwny maandamano mblx2 na kpigw sn!tulijenga iman kbw nao ktk hrkati za kupigania uhai wa taifa hili!hv sasa wamejiunga na ccm na ktusahau kabs!wamekuwa wapinzani kwa wale wanaoonesha uzalendo na ksahau maslahi ya wengi!prof lipumba yuk wap?rashid mohmed yk wp?ni ccm au ni cuf?2endelee kukiamin chama hiki?je kina dhamira ya kweli ktk kupigania nchi hii?2wakatae wanafiki kama hawa waliokuwa viongozi wa cuf!cjui kama nimekosea!naomba mwongozo
 
Jikane mwenyewe kwanza ndo utufuate!cuf=ccm!fasta jiunge na chama makini cdm
 
Back
Top Bottom