Kwa wenye 50 and above: Mi hata sijui tena............wewe je!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Ah bwana mi hata sijui tena! Anajibu jamaa mmoja baada ya kuulizwa na mwenza. Jamaa anasimulia alivyokuwa sensitive miaka hiyo. Anasema akiwa na 15yrs akiona ile nguo ya ndani ya ke anamaliza kazi. Alipokwenda O level alipenda sana busu! Kisha wakaanza kumnong'oneza sikioni saa nyingine ulimi unamgusa sikioni. Ikawa raha sana. Zikaongezeka staili mbalimbali. Ameoa na sasa ana watoto. Kwa umri wa miaka 50 sasa hajui tena ashikwe wapi ili asikie raha! Anafanyia mazoea tu hajui tena! Wewe unazo sehemu muhimu bado?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom