Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy optimisation.
Mathalan, siku hizi feeds ni sehemu muhimu ya website inayofanya regular updates (atom + rss feeds, etc - inakuwezesha kupata story the moment inakuwa published bila hata kwenda website husika). Katika top 5 wesbites za news Tanzania, hakuna hata moja inayotumia feeds au live bookmarks.
Nenda ippmedia, dailynews, mwananchi, raiamwema na mengineyo - utakuta hawafanyi mambo hayo ambayo kwa website ya kisasa ni muhimu sana.
Ipp kwa mfano, hawajui search engine optimisation, story zao hazina individual links - ukifungua kila story default url ni ippmedia.com.
Katika kuonyesha ubunifu, jamaa wa globalpublisherstz wanatumia feeds na features nyingine zinazofanya wawe bora kuliko serious news providers.
Hizi sites zinatumia templates ambazo wameshindwa kufanya customisations ku-improve display + navigation.
Mchanganyiko wa text + picha ni ovyo, broken links, ni mambo tunayaona kila siku.
Swali: Ni kukosa ubunifu? Au website haziwapi faida kiuchumi kiasi hawaoni sababu ya ku-improve? Au ni ukosefu wa leadership katika organisations husika?
Jamani kuna mambo magumu kifedha na kiteknolojia, lakini hata haya tunashindwa?