Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Kati ya mambo yanayonikosesha raha ni jinsi hawa madriver wa hizi school bus walivyokosa umakini waendeshapo watoto wetu...Nilshuhudia ajali ya bus la shule iliopelekea kupoteza uhai wa watoto watatu hapo hapo...niliumia mno na siwezi sahau tukio lile...Toka siku hiyo huwa najitahidi sana asubuh kuhakikisha na wadrop watoto wangu shuleni kwao mwenyewe nimeshindwa tu kuwachukua jioni..Kweli kuna changa moto sana kumlea mtoto hadi akue.
Kweli kabisa hata mimi nilishuhudia moja lakini mungu mkubwa haiku's mbaya.
 
Wakuu mwanangu miaka mi nne kasoro na ameanza kung'ooka memo kabla ya kaka yake kwenye miaka sita

je inaweza kua ana tatizo au Hua inatokea wenye uzoefu na hili nijuzeni
 
Wakuu mwanangu miaka mi nne kasoro na ameanza kung'ooka memo kabla ya kaka yake kwenye miaka sita

je inaweza kua ana tatizo au Hua inatokea wenye uzoefu na hili nijuzeni
Nijuavyo mimi si tatizo kwakuwa kuna watoto huwahi na wengine huchelewa
 
mimi mke wangu amejifungua lakini maziwa hayatoki kabisa akinyonyesha labda mwezi mmoja tu baada ya hapo mtoto hashibi inabid aanzishiwe maziwa mbadala, je tatizo liko wapi na ufumbuzi wake ni upi?
Jaribu kuwasiliana na daktari bingwa kwakuwa kuna akina mama wana hiyo shida
 
Wakuu naomba kuuliza japo nahic ntakuwa niko nje ya maada .....ni njia ipi ambayo ni bora ya uzazi wa mpango?
 
Hivi lishe sio nzuri kwa watoto? Kwanini inasababisha constipation muda wote?
Labda ikiwekewa mafuta (ya kupikia, au blue band) ila hivo hivo inaleta shida...... Haifai kwa watoto?
 
Hivi lishe sio nzuri kwa watoto? Kwanini inasababisha constipation muda wote?
Labda ikiwekewa mafuta (ya kupikia, au blue band) ila hivo hivo inaleta shida...... Haifai kwa watoto?
Dada ile kitu imetengenezwa bila kuzingatia umri ina material ngumu kwa tumbo changa LA mtoto
 
Hata kutengeneza tu home bado haifai? Make mie nlikua natengezeza ila nimeamka kuacha sasa japo kijana anakaribia two years
Vyakula vya watoto wadogo vingi vinatakiwa kuwa laini Sana na vilivyoiva sana umecheki hilo?
 
Vyakula vya watoto wadogo vingi vinatakiwa kuwa laini Sana na vilivyoiva sana umecheki hilo?
Yap wa Laini na unaiva sana make napika mwenyewe, japo ulezi ndo unatania hiyo kuna muda nlikua siweki ulezi labda ni mahindi, ngano na soya tu ila bado inaleta shida
 
Yap wa Laini na unaiva sana make napika mwenyewe, japo ulezi ndo unatania hiyo kuna muda nlikua siweki ulezi labda ni mahindi, ngano na soya tu ila bado inaleta shida
Lishe si nzuri kwa watoto wadogo unachanganya ingredients nyingi kwa wakati mmoja halafu kipimo ni macho yako lazima mtoto apate constipation
 
Back
Top Bottom