Kwa watumishi wa TANAPA

AUTOMATIC

Member
Feb 23, 2012
11
4
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini kumekuwa na ucheleweshaji wa namna hii? MKURUNGENZI anajua kama watumishi wamekata tamaa ya maisha?
 
Nilivyosoma ulichoandika nime scrol kujua mwandishi ni nani nilivyoona ni AUTOMATIC nikajua akili yako inafanana sana na jina maana umejua watu wataelewa AUTOMATIC hata wasipopewa maelezo
 
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini kumekuwa na ucheleweshaji wa namna hii? MKURUNGENZI anajua kama watumishi wamekata tamaa ya maisha?

we kwel mtata bonus mpaka jf.c wengne tuko udom tunasoma tourism hatujui hata km kaz tutapata tukimalza.sa uniandalie njia hata mm
 
automatic ondoa ufisadi wako hapa. Hapa ni greathinker. Mods naomba u fute hii thread hatupo hapa kwa masilahi ya mtu bali umma. Automic aibu kwako.
 
Hivi wewe Automatic hujui TANAPA ni moja ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri umewahi kujiuliza madaktari na waalimu wanalipwa bonus shs ngapi ?.
 
Back
Top Bottom