Kwa Watumiaji wa Tigo Internet

Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,485
738
Kama kuna mtumiaji wa Tigo Internet au Mtaalamu wa Network za Tigo anijuze kufurushi cha Internet Maxi kina bandwidth throughput saizi gani?
 
2 - 3.5 Mbps or 300 - 400 KBPs and this is 24-7 ngoma inacheza apo apo speed balaa :poa
 
Duh mbona unajibu op? Anauliza kina data kiasi gani? Yani light mb 26 na standard mb 71 je max

duuh yeah ur rite kumbe sijaelewa swali nilidhani anauliza speed ikoje.. any way any Max package ni unlimited inategemeana ni for how long lakini zote ni UNLIMITED
 
2 - 3.5 Mbps or 300 - 400 KBPs and this is 24-7 ngoma inacheza apo apo speed balaa :poa

Mkuu samahani, hivi ninawezaje kuomba hivyo vifurushi vya tigo vya internet vya modem(not mobile phone) bila ya kuwa na hiyo program yao(dashboard)
 
Mkuu samahani, hivi ninawezaje kuomba hivyo vifurushi vya tigo vya internet vya modem(not mobile phone) bila ya kuwa na hiyo program yao(dashboard)

Hizi ni viwango na bei za package za modem thus all are unlimited i repeat UNLIMITED but the only different ni speed between the packages:

keywords.jpg
http://www.tigo.co.tz/images/keywords.jpg

APA ni jinsi au KEYWORDS utakazo tumia kuunga package via sms.. NOTE all the keywords unatuma kwenda 15166

packages.jpg
 
hizi ni viwango na bei za package za modem thus all are unlimited i repeat unlimited but the only different ni speed between the packages:

keywords.jpg

apa ni jinsi au keywords utakazo tumia kuunga package via sms.. Note all the keywords unatuma kwenda 15166

packages.jpg

shukrani mkuu.
 
2 - 3.5 Mbps or 300 - 400 KBPs and this is 24-7 ngoma inacheza apo apo speed balaa :poa

Nashukuru kwa majibu mazuri hapo juu nisadie kujua hiyo package ya standard yenye 1GB [1024MBs] Tx Rx speed yake ni Kbs au Mbs ngapi? na hiyo ya Max 4G Tx Rx speed yake ni Kbs au Mbs ngapi?
 
Nashukuru kwa majibu mazuri hapo juu nisadie kujua hiyo package ya standard yenye 1GB [1024MBs] Tx Rx speed yake ni Kbs au Mbs ngapi? na hiyo ya Max 4G Tx Rx speed yake ni Kbs au Mbs ngapi?
Ok hizi packages zina range hivi hii ni self experience:

All Light packages - 15 - 30 KBps

All Standard packages - 60 - 80 KBps

All Max packages - 2 - 3.5 Mbps or 300 - 400 KBps
 
Ok hizi packages zina range hivi hii ni self experience:

All Light packages - 15 - 30 KBps

All Standard packages - 60 - 80 KBps

All Max packages - 2 - 3.5 Mbps or 300 - 400 KBps

Kwa hiyo ki ukweli kama mtu anataka live video stream inabidi awe na kifurushi cha max na sio standard.
 
Back
Top Bottom