Kwa watu wa kilimanjaro....

Unauliza jibu?
Huyu jamaa kwa thread za Wachagga humuwezi. Sijui kuna dada yetu aliyemuibia mume au kaka aliyemuibia mke. . . ?

Anadai change yake aliyotoa kwa mama muuza mbege pale Kiboriloni
 
si unaona? ndo mana nikauliza au jina lingine la kilimanjaro ni moshi?
Kilimanjaro ni mkoa na Moshi ni wilaya... Mie naona watu wamezoea tu kusema naenda moshi ila haina maana kuwa jina lingine la kilimanjaro ni moshi!... Hai, rombo, same nk zote ni wilaya zilizoko Kilimanjaro, huko sio Moshi!
 
Sio ajabu wengi ni watu wa nyanda za juu kusini walikuwa kwenye mashamba ya ngano kule west kilimanjaro!
kwani wafanyakazi wa mashamba ya ngano siyo watu?
mnapenda sana kudharau kazi za watu. na hiyo ndo shida yenu.
mnapenda kujifanya mko juu.
kwani wachaga wote ni matajiri.
kwenu hakuna maskini.
acheni hizooooo
 
Kilimanjaro ni mkoa na Moshi ni wilaya... Mie naona watu wamezoea tu kusema naenda moshi ila haina maana kuwa jina lingine la kilimanjaro ni moshi!... Hai, rombo, same nk zote ni wilaya zilizoko Kilimanjaro, huko sio Moshi!
walau wewe umenena.
you must be beautiful and sweet!
 
kwani wafanyakazi wa mashamba ya ngano siyo watu?
mnapenda sana kudharau kazi za watu. na hiyo ndo shida yenu.
mnapenda kujifanya mko juu.
kwani wachaga wote ni matajiri.
kwenu hakuna maskini.
acheni hizooooo

You have jumped to the conclusion! Sio kosa lako. Mtoto acha kupiga mayoweeeeeeeee waache watu waone wenyeweeeeeeeeee
Nani alozungumzia mambo ya utajiri hapa. Thats inferiority complex man!
 
Pale wanalima ngano sana. Tanzania Brewaries wana mashamba pale balaa. Kuna shamba la mzungu mmoja lina mpaka air strip Lizzy

Aisee!!Sikua najua. . .
Nilijua ni viazi na carrot tu maana kuna wakwetu alikua na mashamba kule. Sema nasikia hua kunakua na baridi balaa.
 
Hata anayekwenda Hai, Same, Mwanga, Siha, Rombo...bado atakwambia anaenda moshi. ina maana jina lingine la mkoa wa kilimanjaro ni moshi? hapana. Halafu mbona kuna umbali mkubwa kati ya moshi na maeneo hayo mengine hapo juu.

Tafadhali taja jina halisi la mahali unakokwenda.

Vilevile hakuna wachaga bali kuna warombo, wasiha, wamachame, wakibosho n.k.

nipo napata brekfasti ya mchana.

this is too low for me to reveal my comment.
Hivi session ya jioni ya Bunge haioneshwi Star Tv?
 
Back
Top Bottom