Kwa watanzania wote

Je wewe unajiona ni nani kwanza?


  • Total voters
    15
Sijakupata kabisa na sielewi dhumuni lako ni nini hasa....siyo lazima utoe maelezo zaidi kwani sioni mantiki yeyote katika swali lako

Nakubali swali halijaulizwa kwa kina, na wala labda lengo lake halijawekwa bayana, ila swali la msingi hapa "je identity matters in tanzanian lives? Why and how?

Rafiki yangu mmoja, hapendi kusikia katika hizi hadithi za identity, kwamba zinaondoa watu kuzungumza mambo ya msingi katika unyonyaji, na kuangalia tofauti ndogondogo zinazotugawanya.

mimi namtizamo tofauti kidogo kwamba identity is not a matter of saying who a person is in terms of tribe or nationalities, rather it is a merely reflection of our social statuses and positions in society. These position are not static rather their fluid and change time to time depending on context, space and time.
 
Back
Top Bottom