Kwa watalaam naombeeni msaada

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza akaupata ujauzito? Naombeeni mnisaidie
 
mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi??
Kwa nini msitumie kinga lakini-mjiepushe na kuumiza kichwa huku??
Au tumieni uzazi wa mpango..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom