Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie ushauri wa msaada kwani ana gari yake Toyota Liteace Noah 1998cc,wakati anainunua mwaka jana ilikuwa inakula lita moja ya petrol kwa kilomita 9,sasa hivi inachoma lita moja kwa kilomita 7.Sasa anaomba ushauri kipi kimesababisha mabadiliko hayo na ikiwezekana afanye marekebisho gani ili iweze kula mafuta kama awali.Jamani mpeni msaada huyu jamaa kwani gari bado anaipenda sana.