Kwa wataalam wa ku-shoot video, hii ni aina gani ya camera?

KWA UPANDE WANGU : hyo n HD camera hasa S0NY AU CANNON huwa zinachukua m0vie au film hla n expensive kumilik
hio camera inaitwa blackmagic, tumia google search by image utajua

-ingia google.com
-click image
-kwenye alama ya search nyuma yake peleka mouse alama ya camera itatokea click halafu chagua search by url
-open new tab njoo hii thread halafu view picha ya huyo jamaa halafu copy url yake
-paste hio url pale kwenye search by image google.

utaona picha hio imetumika wapi na wapi, jina lake, inapouzwa etc
 
Maelezo yako always ni perfect.

Hongera sana mkuu.
 
niliona jicho lina megapix 300 na ushee mahala

may b sna uhakika sana dhat is wat i knew pind npo A-lavel but iz camera znacho zidi jicho n kwamba jicho lina punguza qualiti ya kuona kitu kuonekana clear as kitu kinapo songea mbali FT kadhaa na site but camera zina weza kuvuta kitu kionekane clear as kitu kinapo kua mbal na kikaonekana clear kinapo kuwa mbal so zina lenc zenye power kubwaaa sana
 
yes
maana jicho laweza ona mbali sana kama halina matatizo ila sio kwa uzuri
 
hio camera inaitwa blackmagic, tumia google search by image utajua

-ingia google.com
-click image
-kwenye alama ya search nyuma yake peleka mouse alama ya camera itatokea click halafu chagua search by url
-open new tab njoo hii thread halafu view picha ya huyo jamaa halafu copy url yake
-paste hio url pale kwenye search by image google.

utaona picha hio imetumika wapi na wapi, jina lake, inapouzwa etc
POA POA KIJANA
 
Kwenye kupiga film zinapata hadi zawadi za kimataifa kama Oscar, Canon hutumika Lens zake tu. Kwa Lens Canon hashikiki.
Ila inavyokuja kwenye Camera za FILM, basi Canon na SONY ni Watoto wadogo. Hata RED kuna kaka zake.

Ona hii Camera chini. Yaani hapo una Kichwa tu. Ili ipate macho, mikono, miguu, tumbo nk.... zitakutoka zaidi ya $10,000.

products_primary_weapon_8ks35_front_ssd.png

WEAPON BRAIN WITH HELIUM 8K S35 SENSOR - $49,500.00
ASANTE
 
Camera ipi ipo vizuri kwa graphics katibya canon na nikon na vitu gani vya kuangalia kabla ya kununua
 
Camera ipi ipo vizuri kwa graphics katibya canon na nikon na vitu gani vya kuangalia kabla ya kununua
mkuu huwezi nunua camera kwa kuangalia jina, angalia matumizi yako halafu andaa budget then kutokana na budget ndio chagua yenye specs nzuri kwa ajili ya hayo matumizi.
 
610d5839e25f789088f6aafdd818f87a.jpg

Nimekutana na picha hii nikajikuta najiuliza kwa sababu mimi sina ufahamu na vifaa hivyo lakini pia camera nyingi ninazoziona hazipo hivyo, je, hiyo ni aina gani ya camera na mbona ina makorokocho mengi?

Camera nyingi tunazoziona ni zile kubwa za sony ambazo hazina makorokocho mengi kama hiyo hapo juu?
Black Magic hyo, ni miongoni mwa Camera za kisasa zinazotikisa industry ya Videos.
 
Hio ndo Red Camera
Acha kumdanganya Mwenzio, Hio sio Red Camera. Hio ni Black Magic, Camera ingia Google search Red Cemera na BlackMagic uweze kuzitofautisha na Wala hazifanani kimaumbo. Next time jibu kitu ukiwa upo una ujuzi kama huna ni vema ukakaa kimya sio kuingiza watu chaka.
 
Sawa sawa mjuaji.

Ni vyema unisahihishe tu kuliko kunicriticize as if u know everything.

Everyday is a learning class
 
hio camera inaitwa blackmagic design 4k camera. ni camera ndogo tu ipo hivi
blackmagic_design_blackmagic_production_camera_4k_964119.jpg

blackmagic_design_blackmagic_production_camera_4k_964119.jpg

inaonekana mkuu lens zimekuchanganya ukaona camera kubwaa

chunguza vizuri picha yako utaona camera ndogoo.

hayo makorokocho ni kwa ajili ya kuvuta vitu vya mbali, mwanga, stabilization nk

Wewe upo sahihi mkuu, jamaa kachanganywa na hzo equipments zilizokuwa attached hapo like lenses, etc.. Hii camera ni nzuri sana kwa kishoot movie zenye ubora wa hali ya juu eg. Hollywood films. Ubora wake unakimbizana na ule wa RED camera kwa kushoot hadi 4.6k vifeo quality.. Ninachokipenda zaidi kweny hii camera ya blackmagic ni price yake iko chini ukilinganisha na kampuni nyngne zinazocompete nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom